Kifaa cha kuwasha na kuzima kwa kutumia simu

Kifaa cha kuwasha na kuzima kwa kutumia simu

Mpondoshilla

Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
36
Reaction score
132
Habari za humu wanaJF

Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla,

Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu maboresho

Niliwahi ipeleka shule moja ya ufundi hapa Dar ila waliipotezea

Huu ubunifu nilitumia muda wa miaka miwili kufanikiwa kuunda japo nilipata wazo kwa mbunifu mmoja ila wa kwangu ni tofauti kidogo.

Ni kifaa ambacho kinaweza kuzima na kuwasha kifaa chochote kinachotumia umeme wa majumbani.

Kwa kutumia simu ukiwa popote
Na ukiwasha hata ukiwa mbali utapata majibu kuwa kifaa chako kimewashwa na ukizima pia utapata majibu kuwa kimezimika.

Sasa ushauri wenu wadau niendelee kukiboresha au nikipotezee tu maana pesa niliyo tumia ni kiasi kikubwa kidogo kwangu meme japo ni vifaa vya kuunga unga tu

Uzi tayari
 
Mkuu hio idea ni Generic sana na kuna maelfu ya vifaa yanafanya hivyo. Unless una njia ya kumass produce na kuuza kwa bei rahisi.
 
Back
Top Bottom