Kifaa gani muhimu kuwa nacho chuoni kati ya Laptop na Tablet ?

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Mchango wako ni wa muhimu na sababu pia ukiweka utanisaidia mimi/ na wengineo zaidi
 
Vyote muhimu dogo, ila kwa vile utatakiwa uwe unafanya assignment na project mbali mbali ni vizuri ukawa na laptop
 
mbongo bwana sasa hapo hujaelewa nini????

who is mbongo? Oh ok let me ans you like this jamaa ameipa point laptop kwamba inaadvantage kwnye project mbalimbali ilihali amesema vyote ni vya muhimu , thats why nikamwuliza umuhimu wa tablet pc upo wap!!? Cjui umenielewa
 
Mchango wako ni wa muhimu na sababu pia ukiweka utanisaidia mimi/ na wengineo zaidi

Unasoma engineering unataka kutumia AutoCAD AU MATLAB kwa practicals au unataka ku design je hiyo tablet yako itaweza? kwa kusoma laptop inafaa...
 
KALAMU NA MADAFTARI NDIO MUHIMU VINGINE MBWEMBWE MANA WALIOWENGI WENYE HIZO LAPTOP WAMEZAJA MIZIKI NA PICHA ZA NGONO. NA HIZO IPAD NYINGI ZINATUPIKA KUPIGA PICHA ZA KUPOST KWENYE SOCIAL NETWORKS. (just joking)
 
nimeipenda hii
 
Chukua Ipad Maana Utaokoa Ela Ya Kununua Vitini, Utakua Unatwaga Picha Tu,laptop Sikuizi Haina Maana Coz Ipad Ina Mambo Yote Wanaokushauri Weng Wao Hawajawah Kutumia Ipad
 
Chukua Ipad Maana Utaokoa Ela Ya Kununua Vitini, Utakua Unatwaga Picha Tu,laptop Sikuizi Haina Maana Coz Ipad Ina Mambo Yote Wanaokushauri Weng Wao Hawajawah Kutumia Ipad
Out of context. Topic inahusu "Laptop na Tablet". Ipad imetoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…