Kifaa gani muhimu kuwa nacho chuoni kati ya Laptop na Tablet ?

Hao wanaosema laptop hawawez kutumia tablets, chukuwa tablets dogo
 
Tumia laptop ndio kila kitu,tablet ipo complecated sana hata kwenye kuchapa kazi itakusumbua,pia upande wa chaji laptop inajitahidi,tablet iko delicate sana muda wowote inaweza kukuzingua,pia upande wa touch yake ndio kabisa ikipata shock ndogo tu haunayo,michubuko tu tatizo kwenye tablet,laptop ninayo na tablet lakini nimecompare nimeona tablet itasubiri sana kwenye pc.
 
laptop ni nzuri zaidi itakuwezesha kufanya mambo mengi hata kuandika kazi na kusomea pia
 
Mm nina tablet...
nachapa mikazi ya chuo tena kwa spid ya hataree...
Sijawah toa copy ya hayo mapaphlet yao... yaan mm ni mwendo wa kukung'uta picha tu
Naingia nayo pindi kama kitabu... (na take note)
Haf ni full mauzo...
Ila kama unasoma engineering komaa na kipakatwa (laptop) ila kama ni hiz koz zetu chukua tablet ... ila tafta nzur
 
Soma vitabu vya hard copy. Vinajenga nidhamu ya usomaji Na vinakuza uelewa. Unafunua pages Na si scroll up ot down!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…