Kifaa hiki cha mapishi kinaitwaje?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Nauliza wajuzi, hiki ni kinaitwaje na kina kazi gani, kwenye mapishi ya chakula masna nimekikuta kwenye seti ya vifaa vya mapishi niliyonunua

 
Kinaponda vitu laini pia kama viazi vilivyoiva.
 
Hiyo inaitwa "Masher". Inatumika mumunya au kusaga nyanya, viazi, maboga, au mayai ya kuchemsha kwenye chombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…