Kifaa hiki naweza pata wapi

Kipo kariakoo almost kwenye maduka yote makubwa ya vifaa vya mabomba
 
Amazon.com kuna machaguo mengi sana eg gas/electric.
 
Wamekuambia wanacho hicho Kifaa? au ni Kiherehere chako tu ili tukujue kuwa unajua Mambo na ni Mtu wa Maisha ya Juu wakati tunaokujua 'Physically' tunajua kuwa una Dhiki mpaka katika Kope zako za Macho.

[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…