Kifaa kinachoua mbu na wadudu wote warukao

balwani

Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
34
Reaction score
20
Kama unasumbuliwa na MBU na WADUDU wote wanaoruka nyumbani kwako suluhisho limepatikana.

* Ni kifaa kinachotumia umeme kidogo sana, unapokiwasha taa zinazowaka kwenye kifaa hicho huwavutia wadudu warukao na mwisho wa siku huzifuata, wanapozikaribia huvutwa na feni na kuuliwa.

* Epuka matumizi ya dawa ambayo ni sumu na tumia vitu visivyo na sumu.

* Napatikana DAR ES SALAAM, MBEZI MWISHO.

* BEI: TSHS 40,000 tu.

* Tuwasiliane: 0659-358599
 
Mkuu, ili mbu wasinifate si inabidi niipakatie au ninunue nyingi moja niiweke kichwani, miguuni na tumboni.
 
Vip mkuu Cha kuulia nyoka kipo? [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Hapana kiongozi, hakiishi muda wake, utatumia miaka na miaka, kama Ni dawa za kupulizia si umetumia zaidi ya 40,000 lakini hiki unanunua mara moja unatumia miaka yako yote.
Kinachofanya kiuzwe elf 40 ni nini. Mkuu yaan unataka upige faida kubwa kuliko kiwanda kilichotengeneza
 
hicho kifaa kinawezaje kufukuza nzi na knachajiwa au lazima kiunganishwe kwenye umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…