Wakati feni zinaingia tuliambiwa hivohivo!! kama ingekuwa kweli tayari wizara ya afya ilishawapa mama wajawazito clinic.
Mbu ana tabia tofauti na wadudu wengine kwake mwanga sii kipaumbele kama ilivyo kwa kaka yake kunguni. Kwao wanandugu hao ni kunusa damu ya binadamu ipo wapi na kuutafuta mshipa na kuanza kujinyonyea. Hulo likifaa labda linase wale wadudu wanaoliwa na wahaya maana ndio washamba wakiona mwanga wanaukimbilia kama mbwa amkimbiliavyo chatu
Ha ha ha. Mkuu wewe ni mstaarabu ila mtundu sana . Nimependa jibu lako la "blender" kwenye swali linalomhusu "brenda" 🤣Multipurpose, ukiwa free utakitumia kama blender
Watanzania wengi huwa mnasema brenda badala ya blender.
Em tamka tractor kwa kiswahili
Nakuunga mkono.Ni biashara tu. Device zingekuwa na ubora unaodaiwa watu wasingehangaika kufunga neti na kupuliza dawa. Navijua sana hivyo vifaa lakini huwa vinaua mbe wachache tu na wengine wanaendelea na tenda kama kawa.
Wasipokifata jeHapana kiongozi unapokiwasha wakati taa umezizima MBU wanakifuata wenyenye na mwisho wa siku wanauliwa.