INAUZWA Kifaa maalum cha kuondoa mafuta na vipele vyote usoni

INAUZWA Kifaa maalum cha kuondoa mafuta na vipele vyote usoni

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
153
aeb2a560-0832-463e-b8bb-8907bcad6c92.jpg
IMG_2213.JPG
IMG_2099.JPG
[emoji736] Kausha mafuta yote na vipele vyote kutokana na mvuke unaotoka kwenye kifaa hiki.
[emoji736] Kinatumia maji kidogo sana
[emoji736] Ufanye uso wako uwe wenye afya na wenye muonekano mzuri.
_________________
⚙️Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________
⚙️Bei: [emoji383]Tshs. 60,000
⚙️Tuwasiliane: [emoji337]️0659-358-599
IMG_0648.JPG
 
[emoji33][emoji33][emoji33]STEAMER KIFAA MAALUM CHA KUONDOA MAFUTA NA VIPELE VYOTE USONI.
[emoji736] Kama umekuwa ukisumbuliwa na vipele vingi usoni, chunusi na muwasho wa mara kwa mara, kwa kifaa hiki matatizo yako yamefika mwisho.
[emoji736] Kausha mafuta yote na vipele vyote kutokana na mvuke unaotoka kwenye kifaa hiki.
[emoji736] Kinatumia maji kidogo sana
_________________
⚙️Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________
⚙️Bei: [emoji383]Tshs. 60,000
⚙️Tuwasiliane: [emoji337]️0659-358-599
IMG_2099.JPG
 
Katika vitu ambavyo vya kuangalia ni uso:
1. Hakikisha uso unauweka vizuri uwe mwanaume au mwanamke
2. Epukana na sura yenye vichunusi vingi
3. Muda wote muwasho haukuchezei mbali kwa kuwa bakteria wamezaliana usoni hata ukitumia sabuni ya Protex hawafi.
4. Dawa ni kuwapa mvuke utakaowaua na kubakia historia kwenye uso wako.

JALI AFYA YA USO WAKO KWA KUTUMIA STEAMER HII MAALUM.

A80A3B09-CF5B-4F19-89E5-ACE86B614123.jpg
 
[emoji33][emoji33][emoji33]MSIMU HUU WA SIKUKUU HAKIKISHA UNAUWEKA USO UKIWA SAFI NA WENYE AFYA KWA KUTUMIA KIFAA MAALUM CHA KUONDOA MAFUTA NA VIPELE VYOTE USONI.
[emoji736] Kitaufanya uso wako wenye afya njema
[emoji736] Kama umekuwa ukisumbuliwa na vipele vingi usoni, chunusi na muwasho wa mara kwa mara, kwa kifaa hiki matatizo yako yamefika mwisho.
[emoji736] Kausha mafuta yote na vipele vyote kutokana na mvuke unaotoka kwenye kifaa hiki.
[emoji736] Kinatumia maji kidogo sana
_________________
⚙️Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________
⚙️Bei: [emoji383]Tshs. 60,000
⚙️Tuwasiliane: [emoji337]️0659-358-599
A80A3B09-CF5B-4F19-89E5-ACE86B614123.jpg
 
[emoji7][emoji7][emoji7]NDANI YA MSIMU HUU WA SIKUKUU UWEKE USO WAKO UKIWA NA MUONEKANO MZURI NA WENYE AFYA KWA KUTUMIA KIFAA HIKI MAALUM.

[emoji736] Kitaufanya uso wako uwe wenye afya na muonekano mzuri.
[emoji736] Kitakausha vipele vyote na kuondoa makovu usoni, chunusi na muwasho wa mara kwa mara, kwa kifaa hiki matatizo yako yatafika mwisho.
[emoji736] Kinatumia maji kidogo sana mpaka kwenye alama ya MAXIMUM.
[emoji736]Unakiwasha na kuchagua namba 1 au 2 ambapo moja ni kwa mvuke wa kawaida na 2 mbili kwa mvuke mkali kidogo.
[emoji736] Kwa mwanzoni utatakiwa utumie kila siku mpaka pale utakapoona afya ya ngozi yako imeimarika na matumizi yake ni mara moja tu kwa siku.
[emoji736] Utakapoona uko sawa utatumia kwa wiki mara moja mpaka ukiona uko sawa kabisa utafanya kwa mwezi mara moja.
_________________
⚙️Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________
⚙️*Bei: [emoji383]Tshs. 60,000*
⚙️Tuwasiliane: [emoji337]️*0659-358-599*

Vina patkana dukan
Bidhaa zetu zote zinapatikana dukani Kinondoni Studio, duka linafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa nne usiku, Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia 0659-358-599
 
JINSI YA KUKITUMIA
1. Unaweka maji kidogo haitakiwi maji yapite kwenye mstari wa MAXIMUM.
2. Unakiwasha na kuchagua namba 1 au 2 ambapo moja ni kwa mvuke wa kawaida na 2 mbili kwa mvuke mkali kidogo.
3. Kwa mwanzoni utatakiwa utumie kila siku mpaka pale utakapoona afya ya ngozi yako imeimarika na matumizi yake ni mara moja tu kwa siku.
4. Utapoona uko sawa utatumia kwa wiki mara moja mpaka ukiona uko sawa kabisa utafanya kwa mwezi mara moja.
 
DEAL CLOSED!!! Mzigo umekwisha mpaka mzigo mpya utakapofika.
 
Hawa wachina watatumaliza,wakileta vya kuondoa upele kwenye masaburi tuambie

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawatumalizi wala nini, hakina dawa wala kemikali, yanayotumika ni maji haya haya tunayotumia kila siku, yanapokuwa ya moto mvuke wake unatumika kuchoma mafuta yote yaliyoko kwenye ngozi ya uso na ndipo hapo bacteria waliopo usoni wanakufa na kuyeyusha mlundikano wa mafuta usoni unaosababisha vichunusi.
 
ONDOA CHUNUSI, VIPELE NA MUWASHO WOTE KATIKA USO WAKO.... UWEKE USO WAKO UKIWA NA MUONEKANO MZURI NA WENYE AFYA KWA KUTUMIA KIFAA HIKI MAALUM.

- Kitaufanya uso wako uwe wenye afya na muonekano mzuri. [emoji818]️
- Kitakausha vipele vyote na kuondoa makovu usoni, chunusi na muwasho wa mara kwa mara, kwa kifaa hiki matatizo yako yatafika mwisho. [emoji818]️
- Kinatumia maji kidogo sana mpaka kwenye alama ya MAXIMUM. [emoji818]️
- Unakiwasha na kuchagua namba 1 au 2 ambapo moja ni kwa mvuke wa kawaida na 2 mbili kwa mvuke mkali kidogo. [emoji818]️
- Kwa mwanzoni utatakiwa utumie kila siku mpaka pale utakapoona afya ya ngozi yako imeimarika na matumizi yake ni mara moja tu kwa siku. [emoji818]️
- Utakapoona uko sawa utatumia kwa wiki mara moja mpaka ukiona uko sawa kabisa utafanya kwa mwezi mara moja. [emoji818]️
_________________
⚙️Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________
⚙️*Bei: [emoji383]Tshs. 60,000*
⚙️Tuwasiliane: [emoji337]️*0659-358-599*
A80A3B09-CF5B-4F19-89E5-ACE86B614123.jpg
IMG_3153.JPG
IMG_2099.JPG
IMG_4425.JPG
 
Back
Top Bottom