Kifafa kwa mavi ya tembo

SHAKIULA

Senior Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
121
Reaction score
24
Ndg, wanajamvi nahitaji kufahamu ukweli huu Wa kuwa kinyesi cha mnyama tembo kinaweza kutumika kwa kutibu kifafa na je, dozi yake inatumikaje?
Naomba nipate faida kutoka kwenu wataalam ili kuisaidia jamii yangu iliyopotea kwa kuiga mila kitu hats kama kinamadhara!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…