Kifafa na Mwezi?

Kifafa na Mwezi?

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Mambo vipi wadau,

Niende kwenye swali moja kwa moja kwenye swali langu;

Hivi kuna uhusiano gani kati ya mgonjwa wa kifafa?

Au baadhi ya vichaa?

Maana kuna wengine mwezi Mchanga ndio wanacharuka kweli kweli au full moon?
 
Back
Top Bottom