Kifahamu kilimo cha maua

Jomo Kenyeta International Airport ni ya 100 kwa huduma za ndege duniani. Kila baada ya dk 15 ndege 4 kubwa zinashuka na 4 zinapaa kila siku. Oriva Tambo Johs wenyewe kila baada ya dk 15 ndege 10 zina land 10 zina take off.

Uwanja unaongoza kwa shughuli duniani ni Health law International Airport. Kila baada ya dk 15 ndege 50 zinaland 50 zina took off. Sasa ndio unaweza kuufananisha na KIA au? Ikiwa hata DIA wenyewe hauifikii JKIA.

Nilirudi kwenye point yako ya kijinga, KIA ina ndege ya moja kwa moja kwenda Abroad pale, au unajua yale maua yanaenda kuuzwa Kisumu nini? Acheni chuki na wivu wa kitoto, eti ukiongea hivyo basi nani unategemea asikie eti aulize au akataze kupeleka JKIA utakufa maskini ndugu yangu, kama hata vitu vidogo hivyo vinakusumbua.
 
Uwanja wa Health law uko wapi?
By the way KLM inaendaga wapi ?
 
Ni Heathrow bro Na sio health law
 
Uwanja wa Health law uko wapi?
By the way KLM inaendaga wapi ?
KLM hizo ni ndege za Nederland's au Uholanzi. Zikitoka JKIA zinatua moja kwa moja Ulaya, haziitaji tena connection. Lakini ikija KIA inaweza ikarudi tena JNIA, lakini lazima iende Johs au Nairobi kufanya connection ndio iondoke moja kwa moja.
 
Tatizo hapa lipo na jibu lake hata wewe mtoa hoja unalo,serikali yetu bado ipo nyuma mno katika kutengeneza mazingira ya kuwafanya raia wake wawe na uwezo wa kufikia malengo yao ya kujiendeleza,tembelea pale KIA na sio rocket science angalia huduma zao ,na chunguza hilo suala la maua je wana mazingira yanayoruhusu biashara hiyo kufanyika,mfano je wana fridges zinazokidhi utunzaji wa maua,je fumigation yao ipo vipi?

Customs inasaidia na kushauri wafanya biashara hiyo ya maua,ukipata majibu then utaelewa why maua ya Arusha yanapelekwa kwanza Kenya,au why machungwa ya Muheza yanavushwa Kenya kwanza kabla ya kupelekwa Dubai;masuala ya uchumi wa nchi ikiingiza siasa za uchwara matokeo yake tutayaona muda sio mrefu.
 
Sithani kama ndege ya mizigo inaweza funga safari mpaka KIA kuja kuchukua maua tuu labda kungekuwa na mizigo mingine ya kujazia.....sasa kwa mfanya biashara wa maua anayetaka maua yake yafike sokoni fasta hawezi subiri wakati maua yanahitajika sokoni fasta hivyo anayapakia kwenye refrigerated truck fasta mpaka Nairobi kwenye ndege zinazoondoka fasta.

Tanzania export bado sana hasa upande wa air cargo....hata juzi umemsikia mkurugenzi akilalamika hakuna mizigo (air cargo) na kila mwaka inapungua badala ya kukua.
 
HAPA Muafaka rahisi ni kufanya hivi barafu tusaidie haapa
kama tatizo ni budget airlines,kwanini wakulima wasiwe na ushirika wao wenyewe na watu wa wizarani wakawasaidia maana wanalipwa wafanye kazi hizi (kilimo+usafiirishaji),Kenya inaonekana ina fanya biashara kubwa kuliko sisi kumbe sometimes ni vitu kama hivi (maua ,matunda na Tanzanite)

Kama wanazalisha mzigo mkubwa wanaweza kuleta ndege cargo plane moja hata kila wiki kwa ajili ya mizigo yao,kuhusu soko nadhani wanawezaa kupeleka vijana wao wasomi huko ulaya kama kenya wanavyofanya
 
Ndugu mleta Uzi kwanza nataka nikufahamishe Kia in uwanja pekee Africa kama siyo duniani was ndege ambao unamilikiwa na mwekezaji ambaye in Kadco na Hugo mwekezaji amekuwa akicharge landing fee kubwa kuliko hata Jkia hivyo ndege nyingi zina land Nairobi kukwepa excessive charges.

Pili hayo maua unayosema hayawezi kujaza hata nusu ya ndege ya mizigo hivyo inaitajika mizigo ya kujaza ndege.na mwisho Kia hakuna facility za Ku hold maua kama cold room ambayo inaweza kukeep maua freshly . Natumaini umenielewa
 
Mkuu kwani kutoka maeneo ya USA na Tengeru ambapo kuna mashamba ya maua hadi KIA ni dakika ngapi? halafu kitoka USA na TENGERU hadi JOMO KENYATA NI DK NGAPI?

Miaka ya 90 mbona maua yalikuwa yanapitia KIA?
 
Hebu kuwa na mawazo positive mtanzania wewe.
 
KIA nighali zaidi ndo maana hata kwenye utalii wageni wengi hushukia nairobi na huletwa kwa 4x4 mpaka huku kwa kuanza safari
Kwahiyo issue ni ushuru KIA uko juu ukilinganisha na Jomo Kenyatta Airport?
 
Mkuu mi nadhani kila mfanyabiashara anahitaji faida.Ili upate faida ya kutosha lazima utafute njia BORA NA RAHISI za kuifanikisha biashara yako.Nadhani huko Kenya kuna mazingira mazuri zaidi ya kupitishia biashara yao.
Unafikiri ni mazingira gani hayo mazuri yako huko Kenya tofauti na KIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…