Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapi juu
kifo na uhai vyote ni kaz ya mungu baba wa mbingun aliye juu hilo halina ubishi kwa mwabadamu yeyote yule
Kipi ni neema kwa mwanadamu kati ya hivyo viwili
Je kifo ndo neema ya mungu kwa mwanadamu?
Je uhai ndo neema ya mungu kwa mwanadamu?
Nimekuwa mara nyingi nikisikia kutoka kwa watu mbali mbali pale panapotokea mtu katutoka hudai na kusema mungu kampenda zaid ndo maana kaondoka
Pia nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbali mbali walio hai wao hudai wako hai sababu mungu anawapenda sana
Sasa bas naomba kujua kati ya kifo na uhai upi ni upendo mkubwa zaid wa mungu kwa mwanadamu
Ninajua magongwa na majanga ni kazi takatifu ya ibilis vip kuhusu kifo na uhai
MUNGU BABA WA MBINGUN AWABALIKI SANA. AMINA
Nawasilisha
LONDON BABY
Post sent using JamiiForums mobile app