Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
Joseverest, hicho ni kipaji chake...yeye hahitaji kushika nafasi kwanza ndo arudi kusoma....Ngoja nishike nafasi ndio baadae niangalie video kwa nafasi
Bado anashangilia sare! Atakuja.Ngoja nishike nafasi ndio baadae niangalie video kwa nafasi
2017mechi ilikua ya lini hii
Aiseee sijapata kuona aina ya mchezaji kama ronaldinho yule jamaaa alikuwa na kipaji cha pekeee sana
Ronaldinho gaucho alifiwa na baba yake akapata taarifa kwa kuwa walikuwa na mechi muhim akawaambia atacheza tu,
Baada ya kufunga gori alilidedicate kwa baba yake anaonekana mwenye uchungu aise mzazi anauma sana ona , alipata ujasiri wa.kufunga goli pekee la kuwapa ubingwa,
Huu unazi ni noma!! Kwamba Messi kakamilikaDunia haitapata mchezaji like Mfalme Messi,,,mchezaji aliyekamilika anauchezea mpira atakavyo chenga za maudhi watano mpaka saba,,,na mpaka amefikia kuitwa The King sio mchezo.waulize brazil,spain ecuador usa n.k kilichowakuta.
Namuombea maisha marefu mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Nitapata kuwahadithia wajukuu zangu.
Huu unazi ni noma!! Kwamba Messi kakamilika
Kakamilika kuliko walivyokuwa Zizzou na Gaucho?Exactly.
Kakamilika kuliko walivyokuwa Zizzou na Gaucho?
Anzisha uzi wako, hapa tunamjadili Gaucho full stop.Yeah kawapita mbali tu mbona,, kama Diego na Pele hawagusi kwa huyu mfalme,, sembuse Gaucho na Zizzou!!!!!!
Hebu jaribu kufikiri tena kabla hujapost Mkuu.maana hapa tutakesha kumjadili huyu kiumbe asiefananishwa.
Wewe una mahaba makubwa sana kwa Messi kiasi kwamba hauoni mapungufu yake kumlinganisha na wengine! Pole sana Messi kakitia upofu.Yeah kawapita mbali tu mbona,, kama Diego na Pele hawagusi kwa huyu mfalme,, sembuse Gaucho na Zizzou!!!!!!
Hebu jaribu kufikiri tena kabla hujapost Mkuu.maana hapa tutakesha kumjadili huyu kiumbe asiefananishwa.
Wewe una mahaba makubwa sana kwa Messi kiasi kwamba hauoni mapungufu yake kumlinganisha na wengine! Pole sana Messi kakitia upofu.
Yaani Messi kakamilika kuliko alivyokuwa zidane? Messi anauwezo wa kunyumbulika na kufanya ball dancing kama alivyokuwa Gaucho? Messi ana control mipira ya kuu akikutana na wakabaji warefu kama Ambrosin au Ramos!? Ulishamuona Messi ana compete kwenye mipira ya kona?
Hebu acha mahaba eti messi kakamilika!