he he he labda barca hiyo isifundishwe na guardiola,, ila kama katikati kati xavi na iniesta wataendelea kucheza kwa kiwango chao hiyo timu haiwezi kuifunga barca,, barca inafungwa na timu ndogo isiyo na mbwembwe na sitashangaa kama bayern liverkursen ikiitoa barca, but timu yoyote kubwa yenye mbwembwe barca anakomaa nayo,
Note: barca inatumia mfumo wa 4-3-3 mara nyingi kwenye mechi ngumu, na guardiola anajaribu kuja kufanya 3 wake wakatikati waje kucheza fabregas, xavi na iniesta kwa pamoja kuwasapoti washambuliaji watatu wa mbele ambao anakuwa messi, villa na alex sanchez sema bado hajafanikiwa kumfit fabregas hapo katikati, na huo mpango wake ukikubali mbona tutajuuta tusioipenda barca,, nazani wote tunajua kwa nini spain ilichukua world cup na euro miaka hii, ni sababu wa wale viumbe 3 wa katikati,
hivi vuta imagination xavi, fabregas na iniesta wapo midfield pamoja yaani hapo zitapigwa pasi complete hata 1000 kwenye mechi moja, kama ujerumani walivyokuwa wanarukaruka kwenye nusu fainali ya kombe la dunia, hao viumbe hawafai na siwapendi kama nini sema sina jinsi tu,,,