Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Nikiwa kijiji kwangu huku njilinji nikiendelea na shughuli za kilimo nimeshtushwa na taarifa ya kifo cha Mh. Benard Membe (kachero mbobezi) natuma salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki. Poleni sana kwa huu msiba mzito.
Kutokana muunganiko wa code mbalimbali nachelea kusema mambo kadhaa.
1. Musiba is just a factor. Wapo wenyewe ambao wana mission yao. Kuna movement kubwa chini ya kapet ambayo inatengeneza mwelekeo wa siasa zijazo (nafasi kubwa za nchi) hivyo watawala wachague kukumbatia bomu au vinginevyo waswahili wanasema fuga chatu ipo siku ... yaani ipo siku..
2. Kuna mwelekeo mmoja wa kiitikadi unaofanana ndani ya idara. Udhibiti unahitajika kwa sababu ya madhara yanayoweza kutokea siku za usoni. Katika mchakato wa kurekebisha msifanye makosa ya kijinga kama (udini) nk. rudisheni idara alipoiacha mwangonda, amuwezi kuwa na idara ndani ya idara
3. Mrudisheni Nchimbi asaidie ku regulate hii movement ndani ya serikali na chama for the sake of 2025 au 30 kama mnataka kutengeneza mwelekeo mzuri alioanzisha Mama au turudi tena kuanza upya hii flow ya FDIs mnayoiona Mama amefanya kazi kubwa sana dhibitini hii movement.
Mungu Ibariki Tanzania