Kifo cha Benard Membe is a waking alert

That is just an iceberg, the melting down of the huge snow is forthcoming with unpreventable wrath to devour the mastermind of the crooks' cartel
 
Jasusi wamemfanyaje tena
 
Sawa
 
Ebhana huo ni mtazamo wako,sidhani kama kuna ukweli,japo naheshimu maoni yako,
Membe has gone,kama alivyoseama, Magufuli hasema tena,hata inuka tena,na yeye ndivyo hivyo.
Dunia ni mapito conspiracy theory nyingi tu zitakuwepo lakini bwana ametwaa.

Swali, who is the next?,
 
Kwa kifupi mama 2025 hawezi kupewa nchi kwa kweli.

CCM ijitafakari sana kupata Mgombea mwingine huo Ndio ukweli.

Jamii ya wafugaji Pia hawaendi kusimamiwana dada zao .

Aliyewahi kumuona Imani au kiongozi wa aina hiyo aje inbox
 
Inasemekana ndio alitakiwa kuwa PM ajae, Ila kipara anautaka kwa nguvu zote zile,.na wasipomuwahi kipara atawala sana
PM ajae ki vipi?PM lazima awe mbunge aliyeshinda kwenye jimbo lake.So Membe ilikuwa arudi kugombea ubunge tena?
 
Uzuri ni kwamba na nyie mtakiwa mmekufa maana si mnaona kifo ni adhabu

Mambo ya ngoma drooooo
Mbaya zaidi yupo kuzimu anaungua kwenye ziwa la moto. Mimi Sina hizo chuki Wala Roho mbaya kwa binadamu wenzangu so jinsi navyojiweka naamini Mungu atanipeleka mbinguni. Hiyo ndio tofauti kubwa mtu akifa mwenye haki na akifa ibilisi kama JPM wenu.

Misiba don't really matter tatizo ni unaenda wapi baada ya kifo.
 
Acheni mis information.... Ni wapi wamesema blood clots zimesababishwa na chanjo?
Chanjo inaweza kuwa sababu ya kuganda kwa damu mwilini na kupelekea "Pulmonary embolism"

Hata kama hakuna aliyesema chanzo ni chanjo, haituzuii kufikiria hivyo na kuondoa akilini uwezekano huo tukilinganisha na matokeo ya chanjo za COVID -19.
 
Huwez kupata hizo report kama walivyofanya kwa JPM hata sasa wanafanya yale yale ya kufumbia macho uchunguzi wa afya ya marehemu kabla ya kifo.

Hivi ni vifo vyenye utata sana na huenda au basi....... Naishia hapahapa[emoji23]

Ni classfied Information, never tell any body
 
Chanjo inaweza kuwa sababu ya kuganda kwa damu mwilini na kupelekea "Pulmonary embolism"

Hata kama hakuna aliyesema chanzo ni chanjo, haituzuii kufikiria hivyo na kuondoa akilini uwezekano huo tukilinganisha na matokeo ya chanjo za COVID -19.
Mkuu science haifanyi kazi hivyo, lazima u isolate control factors kama afya ya moyo ya mhusika, damu, uwepo wa magonjwa kama kisukari na figo etc. Ukiyaondoa hayo yote na Bado mtu anaganda damu ndio uta conclude ni chanjo.

Na hapo hapo lazima ujihakikishie kwamba watu wangapi ambao hawana chanjo wamepata blood clots!! Mfano yule wa juzi aliyekunywa energy 5 akapata blood clots!! Je utasema sababu kachanjwa au sababu ni energy?

So tusitoe kauli za jumla jumla, zinaweza leta mis information
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…