Kifo cha Ivan: Tizama Zari anavonyanyaswa na ndugu wa Ivan

Sio jambo la mila, hakuna hata dini yoyote itakayoruhusu uombe talaka, uzini mara mbili yaani upate watoto wawili nje ya ndoa, halafu urudi kudai kuwa mke halali.
 
Sio jambo la mila, hakuna hata dini yoyote itakayoruhusu uombe talaka, uzini mara mbili yaani upate watoto wawili nje ya ndoa, halafu urudi kudai kuwa mke halali.

mkuu walishaachana ndio akakatuna na kijana wetu mashuhuri, si kwamba alimkwapua kwa mumewe.
 
Waganda ni watu wa kufuata sana mila. Na mwanamke kwa waganda hana uhuru. Ndio maana Ivan alikuwa akimu abuse zari akijua hana ujanja sasa wanasingizia eti kuachika kwa zari kuli mdepress ivandon.

Urban TV jana walikuwa na celebrate ivans life. Waalikwa walipendekeza Diamond asiende uganda sababu ya usalama wake. Kuna clip walionyesha wanachi wakimzonga zari akiwa kwenye gari ya wazi sports car.

My take Ivan looked completely sick due to his alcohol and sex abuse, he noted that he mighty die soon led to party like there is no tomorrow
 
mkuu walishaachana ndio akakatuna na kijana wetu mashuhuri, si kwamba alimkwapua kwa mumewe.
Sasa kama walishaaachana, na kwa mujibu wa dini yao sio mke wa Marehemu tena, hana chochote cha kudai. Hata katika mila zetu Waganda, watoto hana Mamlaka nao.
 
Huyo zari si arudi kwa Ndomo. Kwanini anyanyasike uko wakati domo Ana nyumba kuanzia madale hadi Kwa madiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…