Kifo cha Jimmy Carter

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,451
Jimmy Carter alikufa June 22,1979. Sikiliza audio letter 45 part 2 ya Dr. David Peter Beter..
 
Pole sana alikuwa rafiki wa baba yako
 
President Jimmy Carter bado yupo HAI jamani. Mzima kabisaaaa...
 
Jimmy Carter alikufa June 22,1979. Sikiliza audio letter 45 part 2 ya Dr. David Peter Beter..

Hivi una maana gani kuwa Jimmy Carter alikufa June 22, 1079. Kipindi hicho Carter ndiye aliyekuwa Rais wa USA (1977 to 1981). Mpaka sasa ni Mzima na hajafa!! Una maana gani Mkuu!!?
 
Mbona nimetembelea BBC,CNN.... sijaona habari ya Jimmy ?.
 
Ni mtoa mada ana hangover au mimi? Make si muelewi elewi! Na mara nyingi huwa simuelewi! Anatangaza leo kifo cha mwaka 1975, "Jimmy Carter alikufa June 22,1979"
 
Hivi una maana gani kuwa Jimmy Carter alikufa June 22, 1079. Kipindi hicho Carter ndiye aliyekuwa Rais wa USA (1977 to 1981). Mpaka sasa ni Mzima na hajafa!! Una maana gani Mkuu!!?
Sitaki kumjibia Bw Nyerere, lakini nime google na kukutana na hii:

Dr. Peter David Beter - Audio Letter No. 45.
 
Hivi wewe Andrew mbona mchoyo sana wa kutoa likes kwa wenzako?! 769:1 ni ratio chafu saaaana!! ina maana wewe hakuna yeyote anayepost mada yoyote hapa jamvini ikakugusa positively?! wacha hizo; ukipenda kupokea shurti ukubali kutoa pia!! good day; Mpe Hi Mada.
 
sikujua kama kuna watu they do care about JF LIKES:shock:

Reactions: MTK

sikujua kama kuna watu they do care about JF LIKES:shock:

its not about caring about LIKES; its all about the rules of the game! playing by the rules; hiyo link ya like na reputation are delibaretly put there for a reason; to be used; ndio kitu kinachoongeza "chachandu" kwenye Jf interactions.
 
Bangi mbaya,ile tarehe ni April 22,1979,mimi nimeandika June 22. Check it out kabla ya kutoa comments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…