King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jun 24, 2015 #21 Naanza kumuamini FaizaFoxy kwamba brain yako Kuna baadhi ya fuse zimekata. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Yethero Mgale JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 525 Reaction score 228 Jun 24, 2015 #22 Hivi huyu jamaa akili zake zipo sawa sawa kabisa, mbona huwa haeleweki??
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 14, 2015 #23 Andrew Nyerere said: Swaumu kali. Nafunga siku mbili kabla ya kufuturu. Click to expand... Usifanye hivyo si sheria za swaum, inatakiwa ikifika magharibi ule.
Andrew Nyerere said: Swaumu kali. Nafunga siku mbili kabla ya kufuturu. Click to expand... Usifanye hivyo si sheria za swaum, inatakiwa ikifika magharibi ule.
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,448 Jul 14, 2015 #24 patriotic crusader said: Hivi huyu jamaa akili zake zipo sawa sawa kabisa, mbona huwa haeleweki?? Click to expand... Ha ha ha! Nilidhani niko peke yangu!
patriotic crusader said: Hivi huyu jamaa akili zake zipo sawa sawa kabisa, mbona huwa haeleweki?? Click to expand... Ha ha ha! Nilidhani niko peke yangu!