REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 141
- 317
Pole sana.Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Sad!Kaka ametuacha na majonzi.RIP ,broda!Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Pole kwa kuondokewa na kaka yako ndugu.Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Hamjajiandaa muende msibani na magari "manenemanene" yakiwa na vipaza sauti mkahani msiba na kuutawala kama mlikuwa mnamjua marehemu?Pole sana mkuu, Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu
Kwahiyo umekuja kumsengenya marehemu?Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Astaghifilullah! Mswalie mtume Muhammad ndugu yangu!Msisahau kumwekea kijinga cha moto pale nyuma si ni kataa ndoa?
πππMsisahau kumwekea kijinga cha moto pale nyuma si ni kataa ndoa?
Kataa Ndoa 0/ 3 Ndoa tamuLeo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Ngwengwe ni noma at 43 unaondoka Tu, haina msaliamtumeLeo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari