Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

Sawa,hata mimi nimekubali.Sasa, ndiyo utolewe ushauri wa kumuwekea kijinga cha moto jirani na mwili wake,kweli?
Kuna vitu vingine lazima tujipe ujasiri ili maisha yaendelee, bila hivyo watu wasingekuwa wanajenga majengo, barabara, viwanda n.k kwa sababu wanajua watakufa.

Kwa sababu, kifo ni haki ya msingi kwa kila kiumbe hai, awe binadamu, mbuzi, kuku, panzi n.k​
 
Zilitaka kuniponza siku moja nilikaa nikawaza Jinsi ambayo nilikuwa nimeuza mechi kijinga Kinga nikapoteza matumaini ya maisha yangu
Halafu unapita kijiweni wana wanakazia lile goma kitambo lina umeme😃 una anza kuharisha na kutapika hata kama hauna , ukiona kipele tu unajua dude hilo
 
Usihukumu Sana kila MTU anakusudio lake ishi lakwako ewe mgoja kifo
 
Labda kulingana na hoja za kimapokeo hua hivyo
Kuna kitabu niliwahi soma sikumbuki jina lake lakini kuna hoja moja inasema kua mtu anapopoteza uhai mda mchache baada ya mapigo ya moyo kusimama kwanza mhanga hupitia hatua fulani kama ya kitu ambacho kilishawahi kutokea nyuma au kwa lugha nyingine “unique situation where a victim seems to be familiar with” lakini haithibitishi kua n wanachopitia wapendwa wetu pindi wanapituacha
 
Hakuna ajuaye kwa usahihi kuhusu fumbo hilo maana hakuna aliyewahi kufariki akaja tena na uthibitisho sahihi wa moja kwa moja lakini ninahisi death it’s just a metamorphosis or just our physical body rest where our coffin is
Sasa,zile hekaheka za kuelekea mbinguni au motoni nani atamuachia?
 
Hakuna ajuaye kwa usahihi kuhusu fumbo hilo maana hakuna aliyewahi kufariki akaja tena na uthibitisho sahihi wa moja kwa moja lakini ninahisi death it’s just a metamorphosis or just our physical body rest where our coffin is
Lakini,huwa kuna tetesi na ushuhuda wa kimaandiko ya imani.Life after death!Is that a myth?Hata kama ni myth, lazima ina origin and its causes.
 
Kama mochwari tu anasemwa sipatii alivyokuwa hai alipitia masimango kiasi gani. Maana hata wewe umeisimulia kwa kuonesha hakuwa bora kwa sababu aliungua na hakuwa na mtoto.

Ila mwisho wa siku yalikuwa maisha yake, choice yake ambayo imeamua simulizi ya maisha yake iwaje. Kama yako ni bora kwa sababu una watoto. Good for you

Lakini jaribu katika kipindi hiki umkumbuke hata kwa mazuri yake maana kabla ya kuungua na kutokuwa na watoto. Alikuwa kaka yako toka kuzaliwa kwenu. Heshimu hilo 🙏🏽🙏🏽
 
Lakini,huwa kuna tetesi na ushuhuda wa kimaandiko ya imani.Life after death!Is that a myth?Hata kama ni myth, lazima ina origin and its causes.
Upo sahihi kwa maana lisemwalo lipo na kama halipo basi lajongea ninahisi ukifika wakati sahihi suala la kifo litajadiliwa na wanaadamu kufikia muafaka nini hutokea baada ya kifo,kwenye myths anciet Egypt walikua na mtazamo wao,wahindu hadi leo wanamtazamo wao,Wamongoli vilevile bila kusahau Waafrika pia tuna mitazamo yetu juu ya maisha baada ya kifo
 
Tuupe muda nafasi.
 

Tunaomba Na Mazuri Yake,,Huyo Marehemu Kaka Yetu..??
Naamini Na Nina Uhakika Anayo...
Apumzike Kwa Amani Champion Na Poleni Mnoo Pia....
​
 
Kweli tulie kwa wivu mkubwa


Kuni ya kaka imeacha huzuni kubwa
 
Una ufala sana wewe ,unaanzisha uzi kumlamu kwa kutokuoa na kufa kwa umeme? hata wewe unaweza kuoa lakini usipate watoto na ukafa kwa umeme pia, you judging him too harshly acha ujinga you’re not immune either
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…