Kifo cha Kanumba kimekupa fundisho gani?.

pale c alikuwa anaact tu, kwan action ina uhusiano gan na real life yake?

Huwezi kuigiza kitu ambacho hukijui na wala hakina funzo kwa jamii. Kwa vyovyote alokuwa akiyaigiza ni yale ambayo alikuwa akiyaona katika jamii na kuyafanyia kazi ili jamii ijifunze mazuri na kuyaacha mabaya! Poleni wasanii na poleni wanawake na watoto kwani ndo wapenzi wa mamovie ya kibongo.
 
Ukipata hela ya mawazo epuka ulevi, wenye hekima walisema pombe ni mama wa maasi..jama alikunywa hamu ya kugonga ngozi ikamjia kamuita mwenzie, wivu ukafuata na kwa sbb ya pombe alikosa reasoning na ugomvi kufuata. Mwisho MAUTI yakamkuta..
'' Enyi waja wangu mlio amini ! Kwa hakika ardhi yangu ina wasaa. Basi niabuduni Mimi peke yangu. Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu. QUR'AN: 29:56-57
 
Nimejifunza Ivumayo Haidumu, Asiyefunzwa na Babaye Hufunzwa na Ulimwengu, Cha Mwisho waheshimu Baba na Mama upate Baraka na mafanikio mema, wewe ukimueshimu mmoja na kudhalau mwingine ndio utayaona haya ya kutoeshimiana na kujitangaza magazetini, heshima yako zidi ya wazazi wako.
 
Nimejifunza kuwa polisi wa Tz ni mbumbumbu na kamwe hawatajua chanzo watabaki kushupali Jack Daniels
 
Ukiangukia tumbo je!?

Ukiangukia tumbo inategemea kama una mimba kubwa yaweza haribka kama una kitambi kikubwa utadundadunda, na kama tumbo la kawaida waeza pga sura chini ukachanika au kutoa meno"
 
Nimejifunza kuwa uongo ni kitu kibaya sana hasa mbele ya jamii. Kanumba kwenye kipindi cha bongo movies alisema hatumii pombe kumbe ni mlevi,lulu alisema hana bwana wala boifrend kumbe ni kanumba.
 
nimejifunza wanaompamba kanumba wengi hawana na wala hawafikirii kosa lake ni nini!

wote wazinzi tu
 
Hivi kosa la Kanumba ni lipi hasa?
MBONA NYANI UNASHANGAA SANA, Tatizo ni kuwa jamii sasa ni rotten kiasi ambACHO uovu haukemewi tena. Hivi mpaka sasa hujagundua/jua kuwa sourece ni uasherati. najua mlimpenda sana lkn ukweli unasimama kuwa the coz of his premature death ni uasherati. Kwani LULU alikuwa mke wake?

Kama madongo mtarusha rusheni tu, ila jamaa uasherati umesababisha kifo chake, kama lawama basi nilaumiwe
 
Hivi kosa la Kanumba ni lipi hasa?

1. Kosa la kanumba ni kuwa na mtoto wa kike ambaye hajamtolea posa, wala mahari na alikuwa anafanya naye mapenzi
2. kosa la pili ni kutembea na mfanyakazi wake
3. kosa la tatu ni kudanganya umma kuwa hana gf
5. la tano ni kutembea na katoto ambako wamekakuza na wamekaona kanakua na ghafla anabadilika kuwa mke wao..yeye na ray
6. kanumba kaanza kutembea na huyo mtoto tangu akiwa na miaka 14, in short alianza kumnajisi miaka minne iliyopita..dogo alikuwa hamuogopi tena marehemu
6. hakuwa na maadili saa sita usiku anaenda club (usicheke)
 


Both of y'all aren't serious!
 

Kwani vifo vyote vya vijana ma super star vinatokea usiku tu!!Mbona hata mchan wazee nao wanakufa?? Au mchana nao watu wote tulale? Mbonaformer IGP alifariki usiku huku amelala!!!!!!?
 
Both of y'all aren't serious!
we are not joking and we are very very serious on this. on top of that It is sad to loose
such energetic young man ata very tender age, when we needed him badly.

Inawezekana ukatujaji hivyo, na ukawa sahihi kwa maoni yako.
Ila mtazamo wangu huwa siogopi kusema ukweli ili kukubaliana
na wengi wanaosupport uovu, bora niwe peke yake bora niwe
kwenye right track. Uovu ni uovu hata kama ni mimi nimefanya
madudu, nitakwambia nilichofanya ni madudu/sin.

The man has gone away at wrong time simply coz he was in a
wrong truck. This is what we call PREMATURE DEATH. yaani kifo
ktk umri usiostahili. Ingawa kuna watu wanasema eti muda wake
wa kufa ulifika, this is very very unscientific judgement.

Nakuomba ujitaabishe kidogo usome ktk mtandao sources za
premature death majibu yatakushangaza.
mambo haya yanapotokea yawe funzo kwa kizazi cha sasa na kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…