Mpaka PF3 form, sijui kama kuna exceptions Ila kwa uelewa wangu ni hivyo.
Nakubaliane nawe kuwa SK alishakuwa amekufa the moment Lulu alipotoka chumbani! Sababu ya kifo uchunguzi utaonyesha tu...iwe kusukumwa au kupigwa na kitu, kujigonga kwa bahati mbaya, cardiac arrest nk.Hapana huwezi sema ni uzembe kwa sababu hakuna anaejua amekata roho sa ngapi inawezekana toka mdogo m2 alipomuona na kupanic kumpigia dokta alikuwa kesha kufa
Umeshindwa kutofautisha causes and effects of Stive death. Kumbuka polic hawaangalii kwanini hakupelekwa hospitali ila wanaangalia causes of such event lead to the effects. Pia namba sita yako haina ukweli ndugu, ukweli Stive hakuwa anablid ila alikuwa anatoka mapovu mdomo na si damu. Ndo maana ndugu yake akaona tatizo c kubwa sana akaamua kubuy time labda ata zinduka.
Sumbua akili man c kukurupuka na kuanza kutetea tetea nakama je alimkaba mpaka kifo baada ya Stive kuanguka chini? No one knew?
Mkuu you sound like Sherlock Holmes.The point is she is not guilty until proven otherwise.
Mpaka PF3 form, sijui kama kuna exceptions Ila kwa uelewa wangu ni hivyo.
Mbu hivi kweli kabisa niambie relevance ya hiLi hitaji la PF3 form........na huu ni uzembe uliopitiliza ila watendaji wameufumbia macho.
Kwenye 'ajali' every minute counts...
Internal injuries, kwa kitaalamu hauruhusiwi kumsogeza mgonjwa kwa namna yoyote
kuepusha irreversible damages... Unless mgonjwa atakuwa anahudumiwa na qualified 1st Aider, au
unamsaidia under instruction toka kwa mtaalamu..
kwa nchi za wenzetu ukijipendekeza kumgeuza majeruhi waweza jikuta kizimbani...
Allien, nakubalia na wewe, kunapotokea msiba, tuwaache waombolezaji wamlilie marehemu wao na wazike ndipo tuje kujadili nini kilitokea!. Kwa Regia ni ajali ya gari, lakini kwa Kanumba japo pia ni ajali, kuna mkono wa mtu, kilichopelekea hii hoja kuletwa hata kabla ya maziko ni finger pointing kwa haka kabinti Lulu as if she is the cause!.
Hapa zijahukumu, wala sijatabiri kama kule Arumeru, hapa nimetoa angalizo, there is more to it than finger poiting towards one direction , one person Lulu!. Kwa mwendo huu, kufika hiyo J.4, haka kabinti kanaweza kuwa tayari kameishahukumiwa hukuma ya umma!.
Poleni wafiwa, vidole tusinyoosheane!.
Pasco.
Mbu hivi kweli kabisa niambie relevance ya hiLi hitaji la PF3 form...
Karibu watu wote pamoja na mwanzisha thread mnaongozwa na speculations, facts au haki zitajulikana mahakamani ila ninachoamini mimi kutokana na mazingira ya kifo lulu ni lazima awe prime suspect na mahakama chombo cha haki ndio itathibitisha kama lulu is guilty or not guilty na sio speculations wala porojo za mtu yoyote.
Mbu hivi kweli kabisa niambie relevance ya hiLi hitaji la PF3 form...