OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Rai yangu ni kwa matrafiki kuwa na kiasi au kupunguza unoko. Fanya kazi kwa tahadhali gari likipotea njia halijui wewe ni trafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya kuendesha umelewaView attachment 2605124
Rai yangu ni kwa matrafiki kuwa na kiasi au kupunguza unoko. Fanya kazi kwa tahadhali gari lilipotea njia halijui wewe ni trafiki.
madereva wengine ni wahuni na washenzi wamechanganyikiwa, wanasema mpelekee moto trafiki! Wamekuwa wamechanganyikiwa ama kwa stress za maisha au ulevi tu, kusababisha ajali kwa makusudi hawajaliView attachment 2605124
Rai yangu ni kwa matrafiki kuwa na kiasi au kupunguza unoko. Fanya kazi kwa tahadhali gari lilipotea njia halijui wewe ni trafiki.
Huwa wanasema wao kwao ni mbio mwenye gari atapambana na gari yakemadereva wengine ni wahuni na washenzi wamechanganyikiwa, wanasema mpelekee moto trafiki! Wamekuwa wamechanganyikiwa ama kwa stress za maisha au ulevi tu, kusababisha ajali kwa makusudi hawajali
Kwani sijaelewa unafurahia kifo chake au ni aje?View attachment 2605124
Rai yangu ni kwa matrafiki kuwa na kiasi au kupunguza unoko. Fanya kazi kwa tahadhali gari lilipotea njia halijui wewe ni trafiki.
Kuna mmoja alinikamata kwa kuzidisha speed ile ananza tu kuongea eti nakuandikia makosa mawili nikauliza makosa gani tukabishana sana hlafu baadae akaandika mojaTrafiki Wana roho mbaya sana
Siwezi kufurahi kifo cha mtu. Soma maoni ya wengine utapata kuelewaKwani sijaelewa unafurahia kifo chake au ni aje?
AmenR.I.P classmate
Hata madereva pia mnatakiwa mzingatie sheria za usalama bara barani sio kitu mnajiona mko juu ya sheria.Kuna mmoja alinikamata kwa kuzidisha speed ile ananza tu kuongea eti nakuandikia makosa mawili nikauliza makosa gani tukabishana sana hlafu baadae akaandika moja
Trafiki Wana roho mbaya sana