Kifo cha kugongwa na gari, trafiki muwe na kiasi

View attachment 2605124

Rai yangu ni kwa matrafiki kuwa na kiasi au kupunguza unoko. Fanya kazi kwa tahadhali gari lilipotea njia halijui wewe ni trafiki.
madereva wengine ni wahuni na washenzi wamechanganyikiwa, wanasema mpelekee moto trafiki! Wamekuwa wamechanganyikiwa ama kwa stress za maisha au ulevi tu, kusababisha ajali kwa makusudi hawajali
 
madereva wengine ni wahuni na washenzi wamechanganyikiwa, wanasema mpelekee moto trafiki! Wamekuwa wamechanganyikiwa ama kwa stress za maisha au ulevi tu, kusababisha ajali kwa makusudi hawajali
Huwa wanasema wao kwao ni mbio mwenye gari atapambana na gari yake
 
Hilo gari lilisimama baada ya hilo tukio!? RIP
 
Trafiki Wana roho mbaya sana
Kuna mmoja alinikamata kwa kuzidisha speed ile ananza tu kuongea eti nakuandikia makosa mawili nikauliza makosa gani tukabishana sana hlafu baadae akaandika moja
 
Tatizo matrafiki wanasimisha gari wakiwa katiakati ya barabara. Sasa hapo usalama unakuwa mdogo hasa Kama dereva hajitambui.
 
Kuna mmoja alinikamata kwa kuzidisha speed ile ananza tu kuongea eti nakuandikia makosa mawili nikauliza makosa gani tukabishana sana hlafu baadae akaandika moja
Hata madereva pia mnatakiwa mzingatie sheria za usalama bara barani sio kitu mnajiona mko juu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…