Kifo cha kunyongwa kinavyotisha...

Kifo cha kunyongwa kinavyotisha...

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Nina mdogo wangu amekufa kule Handeni kwa kunyongwa na majambazi toka mwaka 2008 mwezi wa 3 ila hadi leo eti hakuna aliye kamatwa wala aliyegundulika kuhusika je,mimi mwenye ndugu yangu kwa mujibu wa sheria natakiwa nifanyeje kama imeshindikana kupatikana watu hao? Just imagine. Miaka mitano asikamatwe mtu?!!! Pana usalama hapo?
Naomba msaada wenu nipitie wapi wana forum wenzangu kwani kwa msaada wa kisheria wanataka pesa nyingi sana ambazo sinazo.
 
Back
Top Bottom