Kifo cha kweli cha Adolph Hitler: Hebu tuachane kwanza na ile ya kujiua kwa tindikali au kukimbilia kwake Argentina

Ana sura chachuu
Mwendazake wa enzi hizo
 
Ana sura chachuu
Mwendazake wa enzi hizo
 
mkuu, kuna nadharia mbili kuu
1.alijipiga risasi na kunywa cynadine alafu akachomwa moto then mifupa ikafukiwa na badae kutupwa mtoni
2.hii hiyo ya argentina
 
Dunia haitakiwi kuruhusu watu wa aina hii tena Duniani.Kiufupi Dunia na wanadamu wamepitia maswaibu mengi ya mateso na mauaji ya kikatili katika kutafuta ustaarabu uliopo.sasa hivi.

Kila mtu anaethubutu kuturudisha huko ni bora atangulie yeye maana kulibakia kidogo Tzn turudi zama za giza ambazo bado North korea wako.
 
Ngoja nione wajuzi wa mambo wanavyo ya dadavua umu ndani
 
Wakuu naomba kuuliza kwanini Hitler alikuwa anaua wayahudi?
Lengo lake lilikuwa lipi hasa huyu jasusi?
 
Watu wa aina hii hawawezi kupotea,sema style za mauaji zinabadilika mf Corona, HIV, Ebola etc
 
Wakuu naomba kuuliza kwanini Hitler alikuwa anaua wayahudi?
Lengo lake lilikuwa lipi hasa huyu jasus
Kifupi...kipindi yungali kijana. hawa walicolonize kila kitu pale Germany ecomically na ndiyo sababu kubwa ya kifo cha mama yake.
Akaamin hamna Myahudi anayestahili kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…