kifo cha Liumba

utu wangu

Member
Joined
May 10, 2008
Posts
52
Reaction score
3
waungwana wenzangu mlioko huko danganyika,naombeni ufafanuzi tafadhali..hizi tetesi za kufa kwa liumba wa BOT ni kweli?

Iam interested in facts not fiction
 
Pole ndugu yangu hii ndio bongo ukiuliza lazima uulizwe kwanza!!!!
 
Mseminari Amatus Liyumba Yuhai na buheri wa afya. Ninyi tu na roho zenu.
 
Mseminari Amatus Liyumba Yuhai na buheri wa afya. Ninyi tu na roho zenu.

Mmmmh!

hiyo tetesi ndugu yangu alinitishua(alinishitua).


sasa nilitaka kufikiri kuwa kifo kipo au kinaletwa na mazingira.

Mungu amjalie maisha mema na marefu kama alivyotuahidia sisi sote.
 
Kwani huyu bwana ni nani au anhusika na ufisadi wa EPA??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…