Kifo cha Man U

Kifo cha Man U

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini kifanyike kuinusuru?

Binafsi mimi ni shabiki wa manchester ila ukweli hii timu imeoza imeoza kiufupi imekufa inahitaji serious reform.
 
yawapaseni kwanza muwakodi ISIS wawadedishe Guardiola na Klopp.
halafu baada ya hapo ndiyo muanze kutafuta mbinu nyengine!!
 
Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini kifanyike kuinusuru?

Binafsi mimi ni shabiki wa manchester ila ukweli hii timu imeoza imeoza kiufupi imekufa inahitaji serious reform.
Timu tajiri zaidi duniani ni sisi Real Madrid ($4.2B) ikifuatiwa na Barcelona ($4.0B) then ndiyo hiyo Man U yako ($3.8B)

Takwimu za utajiri umedanganya umma
Ya 4. Bayern Munich ($3.0B) 5. Man City ($2.6B) 6. Chelsea ($2.5B) 7. Arsenal ($2.2B) 8. Liverpool ($2.1B) 9. Tottenham Hotspurs($1.6B) 10. Juventus ($1.5B)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom