technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
yawapaseni kwanza muwakodi ISIS wawadedishe Guardiola na Klopp.Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini kifanyike kuinusuru?
Binafsi mimi ni shabiki wa manchester ila ukweli hii timu imeoza imeoza kiufupi imekufa inahitaji serious reform.
Timu tajiri zaidi duniani ni sisi Real Madrid ($4.2B) ikifuatiwa na Barcelona ($4.0B) then ndiyo hiyo Man U yako ($3.8B)Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini kifanyike kuinusuru?
Binafsi mimi ni shabiki wa manchester ila ukweli hii timu imeoza imeoza kiufupi imekufa inahitaji serious reform.
Ya 4. Bayern Munich ($3.0B) 5. Man City ($2.6B) 6. Chelsea ($2.5B) 7. Arsenal ($2.2B) 8. Liverpool ($2.1B) 9. Tottenham Hotspurs($1.6B) 10. Juventus ($1.5B)Takwimu za utajiri umedanganya umma