kifo cha Mangwea.

ERICK GERVAS

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
7
Reaction score
2
hivi
ni kwa nini wasanii wa Bongo wa kizazi kipya hawataki kuwa na umoja,
hasa kwenye tukio la msiba wa mpendwa wetu. Albert Mangwea? hebu
mjifunze ushirikiano toka Bongo Movie.
 
wamefanyaje hawa wa bongo flava na wa bongo movie huwa wanafanyaje!
 
Na wewe na akili zako, unalinganisha income ya wasanii wa bongo movie na bongo flava?
wanashirkiana lkn kwa uwezo walio nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…