OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umewaza nini mkuu?
,
,
nimewaza jinsi mende hufarikiUmewaza nini mkuu?
kinafurahisha sana,ni kifo pendwa mkuuHahahaha, kifo Cha mende kimefanyaje mkuu?
,
Kuwa makini.Unaweza kudhani amefariki kumbe anakucheki tu unavyotaka kumfukia mzimamzima.One eye closed and the other one very open!ππππMasikini mende
R.i.p
KivipiHuu uzi ufutwe haraka maana unahamasisha uzinifu
Si hicho kifo cha sheikh mendeKivipi
Sina la kuongeza mkuukinafurahisha sana,ni kifo pendwa mkuu
Sio cha padiri mende mkuuSi hicho kifo cha sheikh mende