Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

Tunajua mmeguswa na kifo cha jambazi sugu Banjoo. Mnalilia haki ya jambazi sugu lililoua na kubaka wanawake. Hii ni kawaida ya CHADEMA.
 
Ya kuna kipindi Pendo alipotea njia akasahau kutetea walala hoi
 
Kwa ufupi, ni kifo kama vifo vingine tu
Mkuu 'figga', umetiririka vizuri toka mwanzo; halafu, mara ghafla na kuachia bomu lisiloendana kabisa na mada yako.

Maelezo yako yote tka huko juu ni sahihi kabisa kuwa huyu alikuwa ni mtu mbovu kabisa ambaye hakustahili hadhi ya kuwa kardinari wa dhehebu hilo.

Hicho kifo chake kamwe hakiwezi kuwa sawa na cha mTanzania anayejiheshimu na kuheshimu utu wa waTanzania wenzake; kwa hiyo hiki kifo chake ni cha kibwege kabisa.

Acha Muumba wake akamhukumu kwa hayo aliyoyasimamia hapa duniani.

Hii taarifa ya kifo chake niliiona tokea jana, lakini kila mara sikuwa na hamu ya kufungua hadi hii leo imenilazimu tu kwa vile nimeona mwanzilishi wake.

Mungu anisamehe, lakini sitaweza kushangaa kama huyo huyo Pengo hakufurahia Padre wake kutwangwa kichwani na kitu butu!
 
Hakuna kifo ambacho kila mtu husikitika. Wengine anapokufa mtu wanashangilia. Kwahiyo vigelegele vyako si kitu kipya. Anyway kwa kawaida kifo si adhabu
 
Hakuna kifo ambacho kila mtu husikitika. Wengine anapokufa mtu wanashangilia. Kwahiyo vigelegele vyako si kitu kipya. Anyway kwa kawaida kifo si adhabu
Sawa Diaspora nafurahi Makafiri mmeanza kuparuana wenyewe
 
Sawa Diaspora nafurahi Makafiri mmeanza kuparuana wenyewe
We jamaa nawe kila jambo unalinasibisha na udini. Sina Mrengo wa kidini juu ya haya zaidi ya kwamba pia hakuna anayenisaidia chochote hata nikiwananga hata nikiwashabikia hao kina pengo na Gwajiboy
 
Alikuwa mnafiki sana huyu Mzee.

Ila apumzike kwa amani.
 
Wasomi wanakitu kinaitwa kukubaliana kutokukubaliana,

Nadhani katika hili Pengo alizidiwa nguvu na waliowengi na pengine hakupata nafasi ya kujieleza vizuri wakiwa ndani au pengine alijieleza na hakueleweka

Hoja yake ilikuwa kwamba dini isiwaelekeze waumini wake kwamba fanyeni hiki na msifanye hiki katika maswala ya kiinchi kwani kufanya hivyo ni kuchagua upande

Kosa kubwa alilolifanya (naamini baadae alilijutia) ni kutoka hadharabi kupingana na waraka "wao" baada ya waraka kutoka.

Kama msomi na kiongozi mwenye heshima anayeaminika hakutakiwa kufanya vile hata kama alichokiongea kingekuwa cha kweli kiasi gani kwani kufanya hivyo angeweza kuligawa hata Taifa

Mwisho wa siku sote tu mavumbi na mavumbini tutarudi
 
Gwaji boy hajawahi kutetea katiba. Ni mission town tu.

Gwaji alimshukia Pengo kwa ajili ya Mahakama ya Kadhi.
His corpse needs to be punished with unnumbered strokes 😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…