Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

Alikuwa ni MNAFIKI wa kiwango cha dhahabu ila watu walikuwa wanadanganyika na sauti yake ya upole. Ile sauti ni wafipa wote ndiyo huwa wanaongra vile.

Nakumbuka akiwa Askofu wa Lindi alwahi kuharibikiwa gari akiwa na Sister wa Kanisani mida ya usiku karibu na kijiji cha mbali. Then ikabidi akombe msaada kwenye parokia ya jirani kwa ajili ya msaada. Padri mzungu aliliona hilo tukio, na alalikemea kanisani. Yule padri mzungu aliyemkuta na Sista usiku, alikuja kum excommunicate (kumzuia kutoa huduma za upadri). Akaishia kuishi kijijini hadi umauti wake.

Ulizeni Wakatoliki wa Lindi, wanalijuwa hili
 
Hakuna kifo ambacho kila mtu husikitika. Wengine anapokufa mtu wanashangilia. Kwahiyo vigelegele vyako si kitu kipya. Anyway kwa kawaida kifo si adhabu
Ingependeza sana risala yako hii ikawa ni moja ya zile ambazo zingesomwa wakati wa mazishi yake; kama vile ambavyo ingependeza pia ya huyo mleta mada nayo ikasomwa kwenye kumbukumbu ya maisha yake!

Sasa sijui kama kweli utaelewa lengo na maana ya haya machache niliyokusudia kama jibu la hoja yako hiyo.
 
Tunajua mmeguswa na kifo cha jambazi sugu Banjoo. Mnalilia haki ya jambazi sugu lililoua na kubaka wanawake. Hii ni kawaida ya CHADEMA.
Wanadai jamaa alikuwa mmoja wa wahamasishaji wa vurugu za October 29 kule Arusha, inasambazwa hiyo habari kupitia andiko fulani linalotembea kule Whatsapp.
 
Sina uhakika na hilo ila kimsingi Banjoo alikuwa jambazi hatari sana.
Wapo wanaharakati wametengeneza stori kule Whatsapp inasema kwamba alihamasisha machafuko ya October 29 mwaka jana hivyo usalama wa taifa ukamfuata kimya kimya na kumdaka pale Arusha mjini wakaondoka nae na kwenda kumuulia porini Singida.
 
Wanaharakati wanaongea vitu vyenye maslahi kwao. Ila kwa tunaomjua Banjoo enzi za uhai wake hakustahili kuwa uraiani. Huyo alishawahi ua mtu anaitwa Laxman hadharani. Ujambazi mwingi wa miaka ya nyuma ulimhusisha Banjoo.
 
Arusha ya miaka ya 80 na 90 mpaka 2000 mwanzoni ilikuwa na majambazi wa hatari. Rasta wa zamani ambaye ni kiongozi wa CHADEMA mwenye sifa ya unabii inasemekana alikuwa sawa na Banjoo.
 
Arusha ya miaka ya 80 na 90 mpaka 2000 mwanzoni ilikuwa na majambazi wa hatari. Rasta wa zamani ambaye ni kiongozi wa CHADEMA mwenye sifa ya unabii inasemekana alikuwa sawa na Banjoo.
Lema anatajwa sana kwenye wizi wa magari... ninaweza kuamini hivyo maana jamaa ni mpenda pesa aliyekubuhu. Ana kashfa mbaya ya kuhongwa auze ushindi wake wa ubunge mwaka 2005. Nakumbuka 2010 wananchi walizingira jengo la manispaa Lema akiwa ndani wakiwa wameapa kwamba watachoma moto jengo endapo Lema atauza tena ushindi wake. Ilikuwa siku ya kutangaza matokeo ya ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…