Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

Wengi hatujaguswa na kifo chake..!!
 
Msamaha upo kwa wanaofanya makosa. Jitahidi kumsamehe Marehemu Pengo. Japo ni ngumu!
Nyakati zile zilikuwa ngumu sana kwa mustakabali wa Taifa kama zilivyo hizi za sasa!
 
Msamaha upo kwa wanaofanya makosa. Jitahidi kumsamehe Marehemu Pengo. Japo ni ngumu!
Nyakati zile zilikuwa ngumu sana kwa mustakabali wa Taifa kama zilivyo hizi za sasa!
Hahahaaa... Kwamba tumuachie Mungu? Hata kusema hivi hilivyosema siruhusiwi sababu Mungu yupo?
 
Pengo kwa nafasi yake alikua kitaifa zaidi yaani kiimani na kiserikali pia. kiimani amefanya mazuri sana kwa kuunganisha wakristo wote hata kabla ya 1992 alipoteuliwa na Papa kua Kadinali. Kiserikali pia alifanya vizuri sana japo kweli katika mchakato wa kupata katiba mpya alienda akinyume na waraka wa maaskofu wote nchini ambao ulikua ukihimiza kupata katiba mpya jambo ambalo lilimtia doa. Kazi ameifanya na sasa ameumaliza mwendo, Apumzike kwa Amani
 
Tunajua mmeguswa na kifo cha jambazi sugu Banjoo. Mnalilia haki ya jambazi sugu lililoua na kubaka wanawake. Hii ni kawaida ya CHADEMA.
Katiba mpya ilikuwa inaenda kumaliza tatizo la utekaji na kurudisha thamani ya uhai wa Mtanzania. Mauaji Yanayoendelea Nchini, chanzo ni pengo kukataa kushiriki mpango wa kukomesha maafa ambao ulikuwa ni katiba mpya. Katiba mpya kila mtu angekuwa chini ya Sheria hadi Rais. Sasa hivi hata naibu Spika Sheria hazimhusu. Anaweza auevna asikamatwe. Kama rais tu
 
Onyesha wapi kwenye katiba ya saaa panaporuhusu mauaji.
 
Onyesha wapi kwenye katiba ya saaa panaporuhusu mauaji.
Akili yako imejaa kamasi? Kuruhusu mtu kutosshitakiwa huoni ni sawa kuruhusu mtu kuua? Akili yako hata hilo hailitambui? Mfuasi mkubwa wa muuaji wewe
 
Akili yako imejaa kamasi? Kuruhusu mtu kutosshitakiwa huoni ni sawa kuruhusu mtu kuua? Akili yako hata hilo hailitambui? Mfuasi mkubwa wa muuaji wewe
Ukitukana matusi inakusaidia kwenye maisha yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…