Kifo cha Prof Mutakyawa UDSM

Kifo cha Prof Mutakyawa UDSM

kvelia

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
246
Reaction score
44
Kwa wale waliosom Earth Sciences yaani Geolology, mining na mineral processing engineering Mlimani watakuwa wanamfahamu Prof Mutakyawa, kwa wale wenye taarifa za karibu naomba watupe taarifa kamili kuhusu kifo cha Prof huyu. R.I.P Prof.
 
Mbona umeweka tetesi heading lkn ndani umeconclude kafa? So which is which?
 
Dah watu wengine bana.....
 
Inasemekana amefia Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu baada ya ajali ya gari. R.I.P Prof. Mutakyahwa
 
Inasemekana amefia Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu baada ya ajali ya gari. R.I.P Prof. Mutakyahwa

hawa ndo watu wanaostahili mazishi ya heshima sio wale wahuni wengine wanaoendelea kutuharibia kizazi kijacho. R.I.P prof kama sio tetesi.
 
Rest in Peace Prof,ulikuwa ni jembe la ukweli.Industrial minerals,Mazishi wapi na lini?
 
RIP prof Muta
Naona wakongwe wa Geology wanaisha sasa, Mnali, Kapilima, Msindai na sasa MUta
 
hawa ndo watu wanaostahili mazishi ya heshima sio wale wahuni wengine wanaoendelea kutuharibia kizazi kijacho. R.I.P prof kama sio tetesi.
mtu akifa kafa tu awe prof,kuli,konda nk mazishi ya heshima au ya kawaida ni mbwembwe za walimwengu
 
mtu akifa kafa tu awe prof,kuli,konda nk mazishi ya heshima au ya kawaida ni mbwembwe za walimwengu

sema tu nimekosa LIKE botton, ningesha kugongea kitambo. u said the FACT
 
hawa ndo watu wanaostahili mazishi ya heshima sio wale wahuni wengine wanaoendelea kutuharibia kizazi kijacho. R.I.P prof kama sio tetesi.

sure mkuu, mtu unakufa kutokana na wanawake vichwa nazi na pombe ya Jack Daniels.
 
Rest in Peace Prof,ulikuwa ni jembe la ukweli.Industrial minerals,Mazishi wapi na lini?
Mazishi yatafanyika kesho j. nne ya tar. 10/04/2012 shambani kwake Makongo. Msiba upo nyumbani kwake chuo kikuu cha dar es salaam lamboni house no. 10.
 
inasemekana amefia muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu baada ya ajali ya gari. R.i.p prof. Mutakyahwa
aisee kama ni huyo basi mungu anisamehe nimecopy na kupaste
jana nilifikwa na shida ya pancha usiku nikapeleka tairi pale afrikasana njia ya kwenda tra..akapita mama mmja anamuelezea kanumba anauza ndizi usiku masikini..akasema jamani tupendane..nina mume wangu prof wa chuo ni jana yake alipita bar anayopenda kunywa akanunua ndizi zote akaanza kugawa kwa watu..akasema huyu baba akiniona tu ananunua matunda yote..leo hii naambiwa amefariki..alihuzunika sana sana

nikamuuliza amefariki na nini akasema jamaa alikuwa fresh wakati anaingia kwake akagonga ukuta ukamdondokea akapusuka sehemu za kichwa ..mungu amlaze pema peponi
 
Back
Top Bottom