Kifo cha Rais Kennedy: Kikosi cha kumlinda Rais kilijutia sana na kitaendelea kujutia

Kifo cha Rais Kennedy: Kikosi cha kumlinda Rais kilijutia sana na kitaendelea kujutia

Boeing 757

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2020
Posts
288
Reaction score
620
Kikosi cha kumlinda rais Marekani , kupendekeza msafara wa huyu jamaa uwe kwenye gari ya limousine convertible kuliyagharimu maisha yake.

Natumaini vitengo vya ulinzi wa rais duniani kote walijifunza sana.

Wadunguaji au mdunguaji ilikuwa ni fursa moja adimu sana siku hiyo ya Novemba 22 mwaka 1963.

RIP jfk
Screenshot_20200601-114433.jpg
 
Kwa hiyo inawezekana walipanga wao jamaa auwawe au huyo ndunguaji alikuwa akimuwinda Kennedy kila siku anapokuwa katika mizunguko yake na ni nani alipendekeza JFK atumie gari hilo siku hiyo ?
 
Kwa hiyo inawezekana walipanga wao jamaa auwawe au huyo ndunguaji alikuwa akimuwinda Kennedy kila siku anapokuwa katika mizunguko yake na ni nani alipendekeza JFK atumie gari hilo siku hiyo ?
Nenda jukwaa LA jamii intelligence kasome makala aliyoandika comrade mbwana ally ya mtu utapata majibu ya maswali yako yote haya...umeuliza maswali ambayo ni content ya ule uzi
 
Inside wakiamua unakwenda tu ndo kuna point hakuna namna zaidi ya kuweka mtu wako close sana mana wewe time hio huna simu wala risasi uko targeted na uhai wako umeachia wengine wahakikishe uko safe ila familia hio ya kina Kennedy ni kama kuna bundi ivi mana mdogo wake pia Robert kennedy alikuwa assassinated nae akiwa kwenye kampeni za urais kama candidate na ndo Hapo Secret service walipewa duty kulinda candidates wote siku 180 kabla ya uchaguzi hata Sleepy Joe yuko under protection ya Secret service kama former Vp na Democratic candidate
 
Nenda jukwaa LA jamii intelligence kasome makala aliyoandika comrade mbwana ally ya mtu utapata majibu ya maswali yako yote haya...umeuliza maswali ambayo ni content ya ule uzi
Nilishasoma nikasema nije kuchokoza tu kidogo na huku,ila asante sana ngoja nirudie tena ule uzi labda nitakumbuka mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom