Boeing 757
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 288
- 620
Nenda jukwaa LA jamii intelligence kasome makala aliyoandika comrade mbwana ally ya mtu utapata majibu ya maswali yako yote haya...umeuliza maswali ambayo ni content ya ule uziKwa hiyo inawezekana walipanga wao jamaa auwawe au huyo ndunguaji alikuwa akimuwinda Kennedy kila siku anapokuwa katika mizunguko yake na ni nani alipendekeza JFK atumie gari hilo siku hiyo ?
Kuna familia zina laana ya asiliKikosi cha kumlinda rais Marekani , kupendekeza msafara wa huyu jamaa uwe kwenye gari ya limousine convertible kuliyagharimu maisha yake.
Natumaini vitengo vya ulinzi wa rais duniani kote walijifunza sana.
Wadunguaji au mdunguaji ilikuwa ni fursa moja adimu sana siku hiyo ya Novemba 22 mwaka 1963.
RIP jfkView attachment 1465383
Nilishasoma nikasema nije kuchokoza tu kidogo na huku,ila asante sana ngoja nirudie tena ule uzi labda nitakumbuka mengi zaidi.Nenda jukwaa LA jamii intelligence kasome makala aliyoandika comrade mbwana ally ya mtu utapata majibu ya maswali yako yote haya...umeuliza maswali ambayo ni content ya ule uzi