Kifo cha Rais Magufuli: Wanyonge na Walalahoi wanajua walichopoteza

Awamu ya Kikwete
Asubuhi: Chai ya Rangi/Maziwa kwa Vitumbua/Chapati/Mandazi

Mchana mwema: Ugali/Wali kwa Samaki/Nyama/Chainizi iliyonona

Usiku Wali wa Maji Chai ya Rangi

Awamu ya Magufuli
Asubuhi Njaa Mchana Ugali na Maji ya kunywa

Usiku Hofu ya wasiojulikana na njaa
 
Ndiyo ujinga alio waambukiza huu! Huyo magu wako alimbana nani sasa! Na mtalia sana kwa sababu mlidhani atafanikiwa tuishi maisha ya kinyonge kama nyinyi, ila kwa bahati mbaya alichemka! Maana tulimzidi akili kwa kujiongeza.

Kwa sasa ni wafanyakzi wachache sana wa serikali ambao hawaja jiongeza. Wengi kwa sasa hatuishi kwa mshahara tena. Ni mwendo tu wa kuingia benki na kujilipua. Na kuanzisha biashara.

Ila nyinyi wanyonge, endeleeni tu kushangilia zile bombardier zipita angani! Ila mpaka mnakufa, hamtokuja mzipande. Zaidi mtaishia tu kudanganywa na elimu bure kwa watoto wenu. Elimu inayotolewa chini ya kiwango na walimu waliokata tamaa,madarasa yamejaa mpaka pomoni! Nk. Huku sisi wenzenu tukiwakimbizia watoto wetu shule binafsi.
 
UPUUZI MTUPU!!! hatutasahau udhalimu na dhuluma za kutisha alizowafanyia Watanzania mbali mbali nchi nzima. Tuondolee ujinga wako.
 
Tuondolee UPUMBAVU WAKO huyo jiwe katesa mamilioni ya Watanzania nchi nzima halafu unajifanya hujui kuhusu maovu yake.
 
Huu ugonjwa walioambikizwa hawa chawa ni mbaya sana wanajua ule udhalilishaji aliokuwa akiufanya kwa baadhi ya watumishi walkuwa wakijickia furaha sana,na kudhan kwamba hao wanaofanyiwa hayo wapo daraja moja.
Kumbe wapo watumishi wenye uwezo wa kupata hata ml.30 na zaid akafanya mambo mengne hapa nmezungumzia hawa watumishi wa ngazi ya chin tu.
 
Ni kweli ukiangalia watu wanavyo ruka mageti, huwezi kuamini kuwa kuna jamaa fulani anadhihaki juhudi zake, Ina maana hawa maelf na mamilioni wanaolia na kuzimia wote wameshikiwa akili?
Ni wanyonge! Sisi ambao sio wanyonge hatuwezi fanya hivyo
 
Reactions: BAK
Huwezi kushindana na Lissu wewe.
Hata unayemtegemea pia hawezi.
Kakuzidi vyote.
Wanyonge tutakukumbuka sana raisi JPM lakini pia Mama samia hatotuacha solemba

Mjumbe hauwawi Mjumbe hauwawi
Tundu hatokaa awe raisi Tz daima na milele naombeni mjue hilo Kama nakosa nisameeni Sina lengo la kuwaumiza bali kuwataarifa,
 
Kwa Tanzania,kulia msibani ni kawaida.
Hata wachawi hulia sana misibani.
Hata mimi nililia ila nilikua naomba kila siku huyu jamaa aondoke kwa namna yoyote.
 
Mavi ukiyaweka kwenye sahani hata iwe ya ghali kiasi gan hayawi pilau!!!!
 
Hawana cha kupoteza UKISOMA RIPOTI YA CAG ndio Ushahidi kuwa hawana cha kupoteza Ufisadi uliotamalaki wa Kodi za WANYONGE kupigwa na Serikali yake

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Walisema ugonjwa wa moyo,leo wamesema Corona,muda si mrefu tutamwona chui aliyejifunika ngozi ya kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…