SIM natumia. Ila nimerekebishaKwanini kuna typing erros nyingi kiasi hicho as if mada imeandikwa kwa pupa saana
Jr[emoji769]
Na sio tu hivyo, cha kujiuliza, hivi hapo hospitalini hata first Aid haikuwepo? Kubonyeza kifua na ku-revive moyo kwa kusukuma mara 35 tu pia ilishindikana? Machine ya defibrillator nayo ilikuwepo, haikuwepo, ilitumiwa au ilikosekana? Ni mambo ya kujiuliza, labda alipewa hiyo first aid, sijui. Cardiac arrest dawa yake ni hiyo tu chest compression na baada ya moyo kuanza kupiga ndo mambo mengine hufuata.Kwanza alipolazwa tu alitakiwa Daktari wake au wa serikali awe hapo chumbani kila minute. Sijui kama alikuwepo. Sote hatuelewi mengi zaidi.
mkuu kufo kikifika kimefika poleni watanzania