Kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa katika jicho la tatu

Kaka hii kitu wewe acha. Inaonekana Mke wake hakuwa Hospitali wakati mzee anaangaika na uhai wake cisije ikawa alikuwa nyumbani anafuatilia tamthilia wakati mzee anaangaikia ihai wake.. mie nilipomuona Mke wake analia saana jana baada ya kutembelewa na JPM nyumbani nikajiuliza maswali hivi huu uchungu wa gafla wa akina mama unatokaga wapi? Nyie acheni tu hizi ndoa zinakuwaga na mambo mengi...kwa maelezo ya Msemaji wa Familia inawezakana bbau alikuwa peke yake akakosa msaada
 
Laana ya mauaji ya Wapemba ile, karma ipo Mkuu. Hili na liwe funzo kwa viongozi waliopo madarakani, wajifunze kuachia demokrasia ITAMALAKI badala ya kutumia MAGUVU kuizimisha. Ni hatari sana.
 
Je, imethibitika pasipo Shaka kuwa Ben Mkapa amefariki kutokana na SCA?
 
Laana ya mauaji ya Wapemba ile, karma ipo Mkuu. Hili na liwe funzo kwa viongozi waliopo madarakani, wajifunze kuachia demokrasia ITAMALAKI badala ya kutumia MAGUVU kuizimisha. Ni hatari sana.
Demokrasia gani unaongelea? Hope si ile ya kupinga kila kitu
 
Demokrasia gani unaongelea? Hope si ile ya kupinga kila kitu
Wewe unadhani ni demokrasia gani iliyogharimu maisha ya Wapemba zaidi ya 1000 Januari 27,2000? Jaribu kutumia kichwa badala ya masaburi Mkuu.
 
Tulitarajia kwanza maelezo ya chanzo cha kifo yatolewe na serikali; siyo familia.
 
Tatizo mabeberu wanataka kuingilia uchaguzi wetu.

Huyu jamaa asingekubali.

Nipo na joh mtembezi
 
Upo sahihi sana, nadha

Upo sahihi sana, sijui mazingira ya alipokua akitibiwa, ila wataalam wanajua kua sio tu kauzembe ni Uzembe hasa, kuna makosa yamefanyika,
kwa mfano sababu ya kumlaza ilikua nini?!

Vipimo sahihi vilifanyika?!

Je, kabla ya kuingia kwenye hio SCA vipimo vilionyesha chochote kuashiria hali hio?!

Na je wakati anaingia kwenye hali hio ya SAC- emergency unit ilifata procedure ya kumwokoa

Na mengine mengi ambayo yanahitaji majibu.

RIP mzee BWM
 
Uzembe upo nakuhakikishia naimani kama wanausalama watafanya study uzembe utakuwepo naimani kifo cha Mzee Mkapa kitabadilisha mambo mengi hasa handling ya hawa wakuu.
 
Mkuu, unaweza ku declare death ya Kiongozi Kama huyo bila kufanya CPR? Kifo kikishakufika, hata Madaktari wafanyeje, huchomoki. Kwa Unene ule na umri wa mzee, vinamuweka kwenye hatari ya kupata heart attacks.
 
1. Uzembe niuonao hapo ni kulazwa kwa muda pasipo kumsafirisha nje ya nchi.

2. Uzembe wa kutokusema sababu za kifo chake wakati tangazo la kifo chake lilipotolewa.

Binafsi najiuliza, why mwaka wa uchaguzi ndo afe???
What id behind the clossed door???

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Watu mnajifanya wajuaji mnaboa
 
Ilikua lazima afe ili aupate uzima wa milele km hutak kufa huwez upata uzima wa milele.
 
Kweli Sura ya Nchi mkuu imebadirika sana.
 
Mkuu ulikuwa na maono makubwa sana,Sura ya Nchi imebadirika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…