Kifo cha Recho Chamfanya Wolper Afute Mipango ya Kuzaa kwa Kuogopa Kifo

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mwana Bongo Movies amejitokeza na kufunguka kuhusu yeye kushika mimba na kuzaa Jisomee hapa chini alichosema:​
"Najua ni Wajibu Wetu kuzaa ila nimekuwa muoga sana wa kushika mimba kwa sababu naogopa kuzaa na nikikumbuka kifo cha Recho ndio Kabisa Hofu Inazidi​

Naitaji Mtoto ila si leo wala kesho nahitaji kujenga ujasiri upya , ila kama ikitokea nitajitahidi kuvumilia"​
 
labda hana kizazi....asisingizea
 
Mxxxxxiuuuu aogope kulala anaweza pitiliza akiwa kalala
 
Anagopa kuzaa lakini matusi anafanya,sas ziingia anazipeleka wapi?nae apishe kule asituwekee folen
 
Kuna siku alisema huwa anatembea na condom kwenye gari,anamaanisha genye zikimshika sehemu yoyote anapiga game
 
Wanawake wote wanaozaa wanakufa kwa hiyo! Aende zake huko.
 
katika nchi ilyobarikiwa kuwa na " ma celebrities"wenye IQ kubwa nio Tanzania, hongera sana tuko juu
 
Kwa hiyo kabla ya recho alikuwa hajawahi kuskia vifo vya uzazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…