Kifo Cha Reginald Abraham Mengi.

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Wakuu, Ila Kwa Story Nilizoziona na Zinaendelea Kusemwasemwa Hapa Mjini, Basi Mzee Mengi Atakuwa aliwadinya Sana Mabinti Wengi Wa Mjini [emoji187]
Ila Kwa Hali Ya Sasa Imekuwa Tofauti, Vijana Wengi Wanataka Wamama Kuanzia Age Ya 40+ na Wazee Wa Makamo Nao Wanataka Mabinti Wa Kuanzia Age Ya 30-, ni Shida Sana
 
Wewe unataka wa age ipi?
 
Hembu zifafanue kidogo mkuu.... Wengine hatujazisikia kabisa
 
Wewe unatafuta shda!Maana ukitaka kujua alipita wapi na wapi ni tatizo!Maana hsta wewe huyo dingi yako yawezekana sio wako,wako ni baba muuza mkaa jirani kwenu
 
Acha udaku, mwache mzee wetu arest in peace.Kuhusu suala la kudinya hakuna atakaesalimika. Dunia baba bila mdinyo afadhali tu ufe
 
Sasa nn maana ya uanaume sifa ya mwanamme ni mbatoku mkuu kama huna hela hawa slay queen utawaita shemeji
 


Mi ni kijana wa miaka 29, namtaka Jacky nasikia yeye ana miaka chini ya 45.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…