Kifo cha Ruge kinaonesha jinsi Tanzania tulivyo wanafiki

Kifo cha Ruge kinaonesha jinsi Tanzania tulivyo wanafiki

Status
Not open for further replies.

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Leo zimetoka taarifa za kifo cha mkurugenzi wa clouds-media ndugu ruge mutahaba ila kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni unafiki kwa marehemu. Kumekuwa na taarifa nyingi kipindi cha uhai wake zikidai kwamba alikuwa ana wanyonya wasanii pamoja na kuwa na roho mbaya mfano: (ruby na jide).

Kwa nyakati tofauti walimwelezea ruge kama mtu mwenye roho mbaya na katili huku baadhi ya wasanii na wa Tanzania wakikubali taarifa hizo ila kiukweli ilikuwa anafanya kazi kwa kufuata sheria na maadili ya kazi kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania mfano sakata la paul makonda.

Siku za karibuni kumetokea misiba miwili kwenye tasnia hii (zila na pancho)kila mtu alionyesha kuguswa na kuwamwagia sifa kibao baada ya vifo vyao. ukweli ni kwamba Ruge amewainua vijana wengi sana kwenye nyanja mbalimbali na muhimili mkubwa kwenye taifa la Tanzania ameacha pengo kubwa sana hata maadui zake wanajua.

Nasubiria kuwaona wasanii na watu mbalimbali waliokuwa wakimponda enzi za uhai wake na kuponda kipindi anaomba msaada wa matibabu kwenye safu za mbele siku ya mazishi yake kama wa livyo fanya kwa waliopita .

" R I P RUGE TUTAONANA BAADAE"
 
Watu walitaka Clouds ifanye Kazi Kama BASATA Au TBC Na Ruge afanye Kazi Kama Mkurugenzi wa wa Masuala ya vijana wakati alikua Ni Mfanyabiashara
Tumepoteza zaidi ya Mgodi

Ukiwa Kwenye Biashara usitegemee yule unaefanya nae Biashara atakuwa upande wako wakati wa ku burgain bei ya huduma yako!

Nakumbuka wakati ule Lady JD anamtuhumu Ruge, Ruge alijibu kwa kumuuliza swali Kuwa unasema tumekudhulumu Kwenye Tamasha la Fiesta kwa ku kulipa Laki nane jee aseme wazi kabla ya Tamasha tulikubaliana kiasi gani Na Baada ya Tamasha tumekulipa kiasi gani? , Mpaka Leo JD hakujibu

Dudubaya ukisikia Lawama zake kwa Cllouds Na Ruge utadhan Clouds Ni Shirika la Umma Na Ruge alikuwa Ni Mtumishi wa Umma
 
Si ndio maana ya utu mzee, lazima uwe na wema na ubaya wako mbele ya jamii. Tena kuna yale unayafanya ukiwa sirini na dhahiri, kwahiyo Ruge kama binadamu atakuwa amepita humo pia
 
We nae ni walewale wajinga tuu, kwaiyo MTU kama ulikua unamponda kwenye msiba wake ndio usiende?
We badala ya kuomboleza msiba unakaa eti unasubiri uwaone waliokua wanamponda watafanyaje?
We ni punguani kweli,

Hivi we taburasa umekosa thread ya kuanzisha au?
 
ulikuta watu wanakuponda maana yake kama kuna mantiki basi badilika.No one is perfect.Unadhani Ruge ni mwema kias hicho hata pasiwe na baya la kumsema.
Tena bora anayekusema kweupe kuliko aliyekusema gizani.Lengo ni kujidharirisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Mamangu
Point Ya Msingi Ni Kwamba
●Tajiri utaenda
●Maskini utaenda
●Uwe na madaraka utaenda
●Uwe huna madaraka utaenda
●Uwe maarufu utaenda
●Uwe hujulikan utaenda
Cha Msingi Ishi na watu vyema kusudi wananaposema marehemu alikua mwema waseme kwa kumaanisha sio kinafiki.
Kila mtu ana mema na mabaya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP RUGEMUTAHABA
Kama n kweli kuna binadam kahusika kukutanguliza MWENYEZI MUNGU AANZE KUMLIPA HAPA HAPA DUNIAN
[emoji27][emoji27]so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae ni walewale wajinga tuu, kwaiyo MTU kama ulikua unamponda kwenye msiba wake ndio usiende?
We badala ya kuomboleza msiba unakaa eti unasubiri uwaone waliokua wanamponda watafanyaje?
We ni punguani kweli,

Hivi we taburasa umekosa thread ya kuanzisha au?

JOINED JAN 19, 2019 najua matokeo ya 4m 4 yanakuchanganya relax
 
kupishana na mtu haimaanishi ndo muwe maadui hadi kwe misiba,

kwaiyo unataka watu wasitoe pole au kwenda msibani kwakuwa waliwahi tofautiana na marehemu?

Ni ndugu wangapi wakati wa uhai hukosana hadi kuapiana lakini akifa mmoja mwingine anaweza hata zirai?

pamoja na mapungufu ya ruge,lakini bado ana mchango mkubwa kuwainua wasanii hao,hilo halipingiki.

Pia ana mchango mkubwa kuwapoteza kimuziki baadhi ya wasinii waliokataa kuwa loyal kwake,

lakini ruge ni binadamu na ile ni biashara,faida kwanza,fuata masharti hutaki kaa kushoto,

clouds sio kituo cha misaada,,

clouds ilianzishwa ili ilete faida.
 
leo zimetoka taarifa za kifo cha mkurugenzi wa clouds-media ndugu ruge mutahaba ila kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni unafiki kwa marehemu. Kumekuwa na taarifa nyingi kipindi cha uhai wake zikidai kwamba alikuwa ana wanyonya wasanii pamoja na kuwa na roho mbaya mfano: (ruby na jide).

kwa nyakati tofauti walimwelezea ruge kama mtu mwenye roho mbaya na katili huku baadhi ya wasanii na wa Tanzania wakikubali taarifa hizo ila kiukweli ilikuwa anafanya kazi kwa kufuata sheria na maadili ya kazi kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania mfano sakata la paul makonda.

siku za karibuni kumetokea misiba miwili kwenye tasnia hii (zila na pancho)kila mtu alionyesha kuguswa na kuwamwagia sifa kibao baada ya vifo vyao. ukweli ni kwamba ruge amewainua vijana wengi sana kwenye nyanja mbalimbali na muhimili mkubwa kwenye taifa la Tanzania ameacha pengo kubwa sana hata maadui zake wanajua.

Nasubiria kuwaona wasanii na watu mbalimbali waliokuwa wakimponda enzi za uhai wake na kuponda kipindi anaomba msaada wa matibabu kwenye safu za mbele siku ya mazishi yake kama wa livyo fanya kwa waliopita .

" R I P RUGE TUTAONANA BAADAE"
msiba auna kadi ndugu yangu kama harusi au event nyingine

Binafsi naona waliomantain tofauti zao na jamaa kipindi anaumwa basi waendelee kumute hivyo hivyo hata sasa.
 
leo zimetoka taarifa za kifo cha mkurugenzi wa clouds-media ndugu ruge mutahaba ila kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni unafiki kwa marehemu. Kumekuwa na taarifa nyingi kipindi cha uhai wake zikidai kwamba alikuwa ana wanyonya wasanii pamoja na kuwa na roho mbaya mfano: (ruby na jide).

kwa nyakati tofauti walimwelezea ruge kama mtu mwenye roho mbaya na katili huku baadhi ya wasanii na wa Tanzania wakikubali taarifa hizo ila kiukweli ilikuwa anafanya kazi kwa kufuata sheria na maadili ya kazi kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania mfano sakata la paul makonda.

siku za karibuni kumetokea misiba miwili kwenye tasnia hii (zila na pancho)kila mtu alionyesha kuguswa na kuwamwagia sifa kibao baada ya vifo vyao. ukweli ni kwamba ruge amewainua vijana wengi sana kwenye nyanja mbalimbali na muhimili mkubwa kwenye taifa la Tanzania ameacha pengo kubwa sana hata maadui zake wanajua.

Nasubiria kuwaona wasanii na watu mbalimbali waliokuwa wakimponda enzi za uhai wake na kuponda kipindi anaomba msaada wa matibabu kwenye safu za mbele siku ya mazishi yake kama wa livyo fanya kwa waliopita .

" R I P RUGE TUTAONANA BAADAE"
Msiba hauna uadui ndugu yangu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom