Maseto
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 944
- 545
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.
Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.
Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!