Kanumba amekufa kifo cha aibu! Kufanya mapenzi na mtoto mdogo
hii ndo siri nzito???????????
Siri nzito ya kuumwa malaria na shinikizo la damu? Ndiyo shida ya waandishi wa habari makanjanja hii!
Siri nzito ya kuumwa malaria na shinikizo la damu? Ndiyo shida ya waandishi wa habari makanjanja hii!
Mimi nilipoona title ya gazeti nilinunua baada ya kumaliza kusoma nimelifungia kwa miezi 6 sitanunua tena nipashe kutokana na upotoshwaji waliofanya leo.. Huu ni wizi mtupu!!