Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,067 Reaction score 10,938 Oct 23, 2017 #2,381 RIP Kanumba, haki ichukue mkondo wake.
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,197 Oct 23, 2017 #2,382 Kwahiyo akiwa hivo ndo ana haki ya kufa?
FunMania Member Joined Oct 23, 2017 Posts 9 Reaction score 2 Oct 23, 2017 #2,383 Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba. Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba. Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Nov 26, 2024 #2,385 Gang Chomba said: Wengine wamekuja na wazo eti mwili wa Kanumba ukaagwe ktk uwanja wa Taifa. Click to expand... Aliagwa wapi? Gang Chomba said: Kanumba movie zake nyingi ni za kawaida Click to expand... Za kawaida? Nadhani sasa una majibu sahihi
Gang Chomba said: Wengine wamekuja na wazo eti mwili wa Kanumba ukaagwe ktk uwanja wa Taifa. Click to expand... Aliagwa wapi? Gang Chomba said: Kanumba movie zake nyingi ni za kawaida Click to expand... Za kawaida? Nadhani sasa una majibu sahihi