Vijana wa zamani habu naomba mnijuze Abdul Omary Masood mtangazaji wa michezo wa redio Tanzania ENZI HIZO aliuwawa na nani? na kwa sababu gani, tunasikia wauwaji wake walimwua yeye tu mbele ya familia yake na hawakuchukua kitu chochote wakakimbia ndani ya peugot 504, ni kwanini walimwua yule jamaaa na upole wake ue?
hii story niliwahi kuisikia kwa jamaa mmoja ni mtoto wa Temeke anamjua vzr marehemu ngoja nimuulize akinipa tu nitatiririka humuhumu
Hivi nimechanganya au!huyu Marehemu Abdul Masoud alikuwa ni mwajiriwa wa Bobby Soap?maana nilisikia aliwadhulumu wenzake kwenye deal la sabuni au malighafi ya kutengeza sabuni walizo supply!