Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Naam!
Kifo hutokea ni kwa wazee tu wazee ambao wameshakula chumvi nyingi. Hapa nawazungumzia wenye umri wa miaka 98 nakuendelea.
Wazee ambao watoto wao wote wameshakuwa watu wazima na wengine wamekuwa wazee wenzao.
Wazee mchango wao katika jamii umeshakuwa mdogo.
Wazee ambao hauwezi kumsimamisha kwenye mkutano wa kijiji na ukamuelewa hata akikuelezea story.
Nyie wengine huwa mnapatwa na msiba
Yaani unakufa unaacha watoto wapo shule, chuo na wengine wanauzulia clinic. Unakuta kutokuwepo kwako katika hii dunia basi unakwenda kuharibu taswira nzima ya maisha ya wengine.
Msiba wako unakwenda kuharibu ndoto kubwa na muhimu kwa maendeleo ya vijana wa badae. Msiba wako unakwenda kusambaratisha mshikamano wa familia na familia ukoo na ukoo.
Tena usikute wewe ndio ulikuwa kichwa cha familia, kichwa cha jamii inayokuzunguka ndugu yangu msiba wako hatuwezi kusema ni kifo huo ni msiba. Tena ni msiba mkubwa mno.
Je, nini cha kufanya katika hili?
Fanya haya kuzuia msiba kwako, ili na wewe hata uwe umekufa japo kijana.
Kwanza kabisa katika maisha yako usipende kutengeneza mifumo ya ya watu wengi kuwa ni tegemezi kwako (CHAWA). Watengenezee mifumo yao ya kudumu. Nenda nao kazini kwako wape njia ya namna vile wewe unapata pesa ili nao wawe nazo nasio wewe kuwaficha na kuwafanya kama watwana kwao mda wote.
Pili hakikisha na ndugu zako hauwafayi kama ya kwenye kipengele cha kwanza. Waongoze katika harakati za kupambana na umaskini, washike mkono wape njia. Sio unawaacha tu kijijini au kuwapa kazi za ulinzi katika kiwanda chako.
Na jambo la tatu ambalo ni kubwa kuliko la kwanza ni kwenye watoto wako. Ndugu yangu maisha yetu hayana warantii wala garantii wala bima.
Mda wowote unakuwa hakuna katika huu uso wa dunia. Hivyo katika swala la watoto jambo la kwanza ni Usiwazae kabisa kama utaweza ila kama utashindwa basi
Jambo la msingi UPUNGUZE kasi ya kuwazaa. Zaa moja omba uzima somesha maana elimu ndio msingi mkubwa wa maisha yake hata kipindi wewe haupo, hakikisha mpaka anapata kazi ndio unaandaa mwengine.
Pia acha kuyafanya maisha yako ni siri. Waeleze kila mikakati yako na mali zako katika utafutaji wako. Waeleze hata account zako za benki na ikiwezekana hata na namba za siri.
NGOJA KWA LEO NIISHIE HAPA NIKAMZIKE MZEE ALI NYUMBA NIKIRUDI NITAKUJA ENDELEA.
ANAKADILIWA KUWA UMRI USIOPUNGUA MIAKA 120 PICHANI