Kifo kipo mkononi kwa sasa nini ufanye kupunguza uwezekano wa kufa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa sasa nchi yetu au tuseme dunia kifo kipo nje nje ni suala la kumtegemea tu Mungu wako ila yako mambo ya kuzingatia.

1. Achana kabisa na wake au waume za watu.hata wanawake wamekuwa wakatili so mpenzi wa mtu achana naye kabisa.dhambi huwa inatabia ya kukuelemea utasema unafanya siri kakini ukijulikana ni hatari.

2. Punguza pombe au kurudi home usiku sana hasa ukiwa unaendesha gari au pikipiki.

3. Vaa kondom kama una tabia ya uzinzi.

4. Usipingane sana na dola harakati mwisho wake ndo huo kwa sasa tusishindane nao wakuu.

5. Usigombane ovyo na watu
 
Tutaandamana tarehe 23.09/3024.
 
7. Usimdhulumu mtu yeyote HAKI yake
8. Zingatia kutimiza kikamilifu ahadi zako "keep ur promises"
 
Back
Top Bottom